Wameshangaa na ushamba wako ju hizo ni vitu wamezoea.Wenzako walikuepo sasahiv na wamesanda we unaleta maneno matupu.?
nimeona wameenda hotel ina sakafu ya tarazo! damn! who puts a tarazo floor nowdays?
Usikaite hako kanyang'au mzee aisee tafadhali.Hujielewi we mzee...
Wewe nawe unakuanga na desperation ya kifala sana. Jengeni na mupange jiji lenu muondoe nyumba za uswazi zilizotapakaa kila mahalinaskia hizo housing zimepata 4 people only
Hapo ni Dar?Highways za Abegistan πππ
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1GCB8Bsie6/
Uzuri ni kwamba this yapping here can't and won't change anything ππ Si unyamaze tu coz that's beyond your means
View: https://www.instagram.com/p/DXE4WEZDMf3/?e=27087289-6a6f-4397-a40c-807a46be7586&g=5
MY TAKE
Ni upumbavu kuruhusu jambojet kuja Dar huku wakiwa na partnership na PW na pia KQ flies to Dar! TCAA inabidi wawakatalie! Aidha wakitaka basi wajiondoe PW ili kuweka fair competition!
EeeeπππHapo ni Dar?
π€£π€£π€£
Talanta haitajengwa mark my words π€£ π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£