Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ili aumie vizuri muambie hilo jengo la Home Market linamilikiwa na Mtanzania tena anayetokea jamii ya wafugaji wala sio mwanasiasa. 😂😂😂
Maasai scammer wewe unajua nini kuhusu kumiliki buildings?
 
Hiyo gari ni Marcopolo. Ama hata Marcopolo hujui inafanana aje?
nmekwambia show us tanzania buses za marcopolo, unatumia picha ya headlight, means hauna any list ya buses tanzania wanatumia marcopolo, 🤣 🤣 sisi hatutumii izo bati na hata tungekua tunzitumia zisingetoka slums
 
Jifunze mambo ya magari Kwanza ndio urudi.

Marcopolo bus in Tanzania imported from Kenya.

Ulikua umeenda offline sometime back sjui ulikosa bundles, its better urudi tu maaana your over bitter 🤣🤣
Mmezoea kutumia bundles mnadhani watu wote ni maskini like you. I use WiFi kijana, bundles ni ya watu maskini kama watanzania.

But don't worry I'll be around to enjoy your tears.
 
Mmezoea kutumia bundles mnadhani watu wote ni maskini like you. I use WiFi kijana, bundles ni ya watu maskini kama watanzania.

But don't worry I'll be around to enjoy your tears.
oooh i forgot which country was mentioned as 10th most extremely poor nation in the solar system 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…