Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukishindwa mjadala inakaa pembeni we mnuka mavi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hauwezi kufa kwa kuukubali ukweli.
So umeshindwa kuja na comeback?πŸ˜‚πŸ˜‚

BY the way that one supermarket in Arusha can't even be compared with Khetias Supermarket in Kisumu.

Khetias Supermarket, this entire building is Khetias Supermarket.



Another branch of Khetias Supermarket is also 3 floors



 
Hakuna supermarket ya hivyo ukunduni yote, upo busy ku mention kiosk type shi***

Hata viwe mia ila ukweli ni kwamba ni viduka vidogo kulinganisha na Home market supermarket.
Kweli wewe ni baboon. So Supermarket ni building?πŸ˜‚πŸ˜‚

So Quickmart, Naivas and Carrefour ni viosk lakini hiyo supermarket moja with an annual turnover of less than 5M ndio Kitu legit ? Kweli ujinga ni laana.
 
duu hio ni super market 🀣 🀣 🀣
How will you know what SUPERMARKET is when even you can't write it properly?

Supermarket concept is new to you people na hamjazizoea kabisa.
 
People wanna see it. I dare you to bring it here. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You can post it yourself but you will be disappointed to find out it's not Mabati Rolling Mill like ya Arusha which handles 200k passengers kwa mwakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
You can post it yourself but you will be disappointed to find out it's not Mabati Rolling Mill like ya Arusha which handles 200k passengers kwa mwakaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mombosa airport inachekesha kiukweli bora hii ya Mabati unavyosema kuliko ile takataka ya mombasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…