Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ati Tanzania pia wako na alliance high school ...hahaha.Hawa wasee wanacopy kila kitu ya Kenya . . .smh
 
Bro pole bana,hata china wakati anaisogelea japan,maongezi baina yao yalikuwa ni hivi.

Lakini sasa japan amekubali na maisha yanaendelea.
Unajilinganisha na China??....Japan ni DC ..China ni MDC kama Kenya....nyinyi ni LDC

sent from iPhone 7
 
huu ndio uwanja wa kisasa unaojengwa dodoma utakua na uwezo wa ku handle 90000 people and will be the second largest in africa and among the modern stadium in Africa, cost yake ni 100m usd
A waste of money if you ask me. Bora ata wakaujengee Arusha. Dodoma bado ata haina international airport!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…