Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I used to stay at a place called "KISERIAN" few meters before Ngong and what i saw, ni 6 years since i left sina ham tena na ile nchi
 
Exports USD 10bn imports USD 20bn balance of trade -10bn unategemea nini kwenye currency valuation and stability? Simple mathematics hata mtoto wa kindergarten anajua hii hesabu.
saahv ni 20b imports and 6 billion exports 🤣
 
You are pitiful.
Show me goal line technology and LED advertising boards at Talanta
uyo dogo yupo kwenye deep poverty haelewei anasema nn, angejua hata CAF wenyewe hawana infact nkikumbuka goli la aziz ki alafu nkimskiliza huyo fala naona anahitaji msaada mkubwa sana
 
longest dual carriageway in East Africa is Rironi – Nakuru – Mau Summit Dual Carriageway (175 km) while dodoma ringroad is 110 km..na ujue Nairobi-Mombasa Expressway pia itajengwa which will be 500KM..
Unaota we mdada.? Unatuelezea vitu zenye hazipo.? 😂
 
goal line tech unaijua ama unaongea kisa una lips nyeusi? hizo LED ni TEMPORARY means baada ya mashindano zinaondolewa infact sjui ztakua znaadvertise nn baada ya AFCON since ligi yenyewe haina sponsors
 
yaaani wewe ni dead on arrival 🤣 🤣 mambo ya mpira achana nayo, yaaani uko the lowest any kenyan can be in understanding football
 
Tz will receive USD 1.3bn annually from the proceeds of UGX oil sales. This is apart from pipeline shares at 30%
there is another business created involving tanzania, congo and uganda alone about minerals, congo gives it to uganda to refine tanzania transports it
 
it will take kenya 60 years
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…