Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha!! Sasa hapo unaweka report ya mwaka 2013
Aisee umeishiwa sana. Hiyo uliyookoteza hapo ni report ya mwaka 2014 subiri tututakupatia current report.
 
Hahahaha!! Sasa hapo unaweka report ya mwaka 2013
Aisee umeishiwa sana. Hiyo uliyookoteza hapo ni report ya mwaka 2014 subiri tututakupatia current report.
Huh! Jielewe bana. Report ya 2013, tena report ya 2014, na hata hujaelewa report yenyewe. Only if there was a way to stop blind nationalism and accustomed predisposition to idiotic praises.

The report was 1st drafted in the 2013-2014 financial year when length of paved roads was 6908km. It was last updated on Friday, March 10, 2017.

As I've said earlier, learn how to read the entire article. The 1st 2 sentences ain't isht. Or are you implying that the Tanzanian roads fund is sleeping on its job so much that it last updated stats in 2013/14?
 
Nimekueleza subiri ninakupatia current ripoti.
NB: Kuna watu wanamalizia kutengeneza website ambayo itakupatia current infor kuhusu barabara. Tulia kama unanyolewa tunakuletea hizo taarifa. Hizo ulizo weka ni za 2013.

The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.

The attachment shows breakdown of the entire road network and the state of pavement.

Financial Year:
2013/2014
 
Gisima Nyamo-Hoga ndiye mtendaji mkuu wa TANESCO, NBS, ambayo inashika nafasi ya tatu Africa nzima kwa ubora wa data wanazozikusanya pia wamethibitisha hilo, huyo anayetilia shaka taarifa hizi ni nani na ana mamlaka gani katika kukusanya na kutoa data?. Taarifa za utafiti hupingwa kwa utafiti, sio mdomo mtupu.

Swala la umeme tumelifunga, Tanzania confirmed 67.5%, Kenya 50%. Tafadhali sana tuhamie kwenye barabara, huko ndiko tukawamalize kabisa, huko ndiko alikozaliwa, kulelewa na kusoma hadi kiwango cha PhD, Dr. JPM.
 
Hahahaha!! Sasa hapo unaweka report ya mwaka 2013
Aisee umeishiwa sana. Hiyo uliyookoteza hapo ni report ya mwaka 2014 subiri tututakupatia current report.
Hata kwenye umeme alikua anatumia report za zamani, la ajabu ukimletea report mpya anazikataa, ila hakumbuki kwamba Kenya by 2013 haikuwa na SGR, by 2017 imepata SGR
 
Why are you afraid of reading beyond 2 sentences. I'll do you the favor and simplyfy things for you
The classified road network financed by the Roads Fund is about 87,581 km where only 8.7 percent equivalent to 7,611 Km is paved and 91.3 percent are unpaved and therefore susceptible to heavy rain.

The attachment shows breakdown of the entire road network and the state of pavement.

Financial Year:
2013/2014
https://www.roadsfund.go.tz/sites/default/files/RoadNetworks/Road Network in Tanzania Mainland_0.doc

Recent information
Friday, March 10, 2017 - 10:58
ROAD USERS STAKEHOLDERS' MEETING | roadsfund
 
Hata kwenye umeme alikua anatumia report za zamani, la ajabu ukimletea report mpya anazikataa, ila hakumbuki kwamba Kenya by 2013 haikuwa na SGR, by 2017 imepata SGR
Hahaha, Report mpya ipi mmeleta? You are not stupid yet, don't be stupid.
 
Eneo moja ambalo Kenya inafanya vizuri, ni kujitangaza, Kenya mnaandika karibu kila kitu, ndiyo sababu sisi watanzania tunaijua sana Kenya kuliko ninyi mnavyoijua Tanzania, kupata taarifa za Tanzania sio rahisi sana, matokeo yake Kenya wanashangaa sana kuona kwamba vitu vimebadilika sana Tanzani kwa ghafla mno.
 
Kwanza file hili halipatikani
Recent information
Friday, March 10, 2017 - 10:58
ROAD USERS STAKEHOLDERS' MEETING | roadsfund

Ngoja mikupatie kidogo infor za dec 2016 kutoka Tanroads na bado hujaenda TAMISEMI (TARURA)
Hizi ni data za 2016(TANROADS).

Sema sheria ya takwimu inakataza kutoa internal infor ambazo hazijawa public
http://localhost:802/rmms/RaoadNetworkrpt.aspx (Localhost hutaipata)
Tulia mambo yanapikwa wakenya mtapotea hahahaha!!
 
Eneo moja Tanzania mwajitahidi sana no kujidanganya. Hamuandiki chochote kuhusu Taifa lenu. Wengi hata hamjui ni nini mlonacho na msichonacho. Mpaka mijamaa ya serikali ikisema leo 80% ya watanzania wana umeme mwakubali tu kwani data hamna kabisaa.

Kwa kimombo, hio yaitwa propaganda. And it is very common in countries like DRC, Eritrea, Sudan, Sierra Leone, all LDCs. Go look for data on countries like South Africa, Ghana and see the ease in finding them. For developed nations like USA, Britain, Japan, you do not have to look for data, the data finds you
 
GDP 46 b utalibganisha na GDP 77b
 
Total road network 36 000 be serious thats not tz
 
Huwezi ukawa serious Tanzania is the second in Africa (Best Statistics)

Hoho, waleta picha ulio edit then link to a URL whose remote server can't be accessed. So questions?

1. where did you get that stat then?
2. How can it defer from that of the Authority charged with managing roads funds in Tz which was last updated on Friday, March 10, 2017 at 10:58?
3. Why does those stats look eerily like those of Panama in 2009 according to the CIA fact book?
4. How did total length of Tanzanian roads reduce from 72000 to 36000?
 
Hakuna ripoti ya March 10, 2017 at 10:58 rafiki nakutaka weka link yake hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…