Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

inflation 4% go go tanzania huku majirani wana infaltion over 11%πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
So lami za Dar vile zimejaa white sand na pia kuparara ndio unalinganisha na hiyo!?
 
We have money...that's why we are the leading tourists in bongolala
give me the official link nasubiria kua kenya ndio inaongoza watalii tanzania na usiponipa hio link wewe ni mke wangu natangaza rasmi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

yani watalii wanaotembelea zanzibar ni wengi sana kuliko watalii kenya nzimaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

pesa ya kupambana na njaa mumekosa mutakua na pesa ya kutalii??? akili ndogo tu
huku hakuna hoteli ya 10$ kama za amboseli na masai mara huku kiwango cha chini sana ni 200$ mpka 10,000$ per night
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…