Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miundombinu mibovu haina utetezi! BTW nangoja siku nairobi ipate earthquake kama dar ilivyopata tuone hali itakuwaje! Nina uhakika half of the buildings zita-collapse!
Darislum has flooded under less than 20% of that rainfall.
 
Walishangilia walivyoongopewa eti wanawekewa seat za kisasa, jamaa plan zao mbovu sanaa, yn wamekopa mabilioni ya pesa kujenga uwanja alafu finalization inawashinda.
wakenya ni kama pregnant women, wanakua na kelele wakati wanajua kuna mda wa kujifungua unakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…