Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,268
- 107,908
hizi ni route ya mwanza hazipiti dodomaIla hizi double decker zitapita kweli kwenye zile tunnel,au zinapelekwa kwenye mgr?
ila huyu mama wa uhamiaji ni mrembo vibaya mno
View: https://www.instagram.com/p/DVQykfAk-Bx/?e=448c231b-264e-446e-b9d3-ac539bb24378&g=5
View: https://www.instagram.com/p/DFFqxAENR5P/?utm_source=ig_web_copy_link
MY TAKE
Nangoja povu toka Ukunduni jengo hili likikamilika na kuzinduliwa
mbna unaongea kwa huzuni sanaHatujawai jipiga vifua eti hatuimport sukari. In fact sisi huwa tumejikubali tunaimport vitu vingi tu, nyinyi ndio wa kujipiga vifua eti mnajitosheleza wakati mnadanganywa tu na wanasiasa.
sasa unajifananisha na sisi kwenye uzalishaji wa sukari?Hatujawai jipiga vifua eti hatuimport sukari. In fact sisi huwa tumejikubali tunaimport vitu vingi tu, nyinyi ndio wa kujipiga vifua eti mnajitosheleza wakati mnadanganywa tu na wanasiasa.