Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,273
- 107,911
jamaaa katembeza ukimwi sio poa, sasa wanawake wenyewe wamekubali saahv wanamsumbua
huyu jamaa hajui AFCON Ni nn nmejaribu kumuelezea ila wap, yeye anajua tu CHANMaku akili hauna,ndio maana akili yako iko kwenye players tu ila washabiki ushasahau kwanini mmeamua afcon ichezwe naikundu tu sababu ya miji yenu mingine hotel na infrastructure
eti hawataki singelliWalimfanya nini 🤣
wao cha muhimu anaewala ni mzungu hawana shida 🤣Nyang'au wenyewe wanaona eti ni sifa kuliwa na mzungu, ha ha ha😂