Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, insha refu haitakusaidia. Sasa ujenzi wa airport sumbawanga na industrial park inahusakanaje na maandalizi ya AFCON? Unaona ubaya wa kutumia hisia kwenye mijadala badala ya logic. You mentioning all these unasahau uwanja wenu wa Arusha doesn't have even a single supporting infrastructure and AFCON is next year!! Limit this discussion to AFCON. Mambo ya industrial parks na Sumbawanga airport peleka Tandale kwa mfuga mbwa!
 
Umeumia kusikia tumejenga Sumbawanga Airport na Bado tunajenga Industrial park kubwa 😂😂
That just means we're so good at building infrastructure, kwa hiyo huo uwanja wa Arusha hauwezi kutushinda
 
Umeumia kusikia tumejenga Sumbawanga Airport na Bado tunajenga Industrial park kubwa 😂😂
That just means we're so good at building infrastructure, kwa hiyo huo uwanja wa Arusha hamuwezi kutushinda
You were simply looking for an escape route bongolala na nimekuumbua. Eti umeniuma? Nini iniume hapo wakati airports hata sisi tunajenga even as I write this. Umeona mkenya akizitaja as one of the supporting infrastructure za AFCON? Unataja hadi daraja ya Mwanza as if Mwanza kutachezwa AFCON! Hapa tunaongea AFCON supporting infrastructure. Hizi story ndefu za madaraja na industrial parks peleka vijiweni. Industrial parks are all over Kenya and they have nothing to do with AFCON
 
Unaumia ukiwa wapi?
 
Why struggle building BRT system when we have a well functioning commuter rail system which you don't have in Dar?
We have commuter railway in Dar (32 km long)
Also the Nairobi Commuter railway is there but is not as effective as Dar es Salaam's BRT. Imagine a big city like Nairobi with no BRT. Shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…