Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na hii ni render ya city enye ata haijaanza kuundwa, sisi tukileta render ya tatu city na konza city, zote zinaundwa. You guys are pathetic.
hahahahah picha hizo mumepost mara 100 kidogo inamaana hakuna majengo mengine hahahahaha mkianmbiwa nairobi ndogo munakasirika πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
zikowapi picha...hio avic town yenu inamalizwa tu na estate yenye iko athi river
mambo moto sasa dar ni hatariiiiiii niliwambieni mapema πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
jengo lina status inaamana unataka kusema hakuna bank of kenya au ulikwepa kupost hahahahahhahah usizungushe mada hapa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
project, wamekosa picha sasa hahahahahahahhahahahahaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
under construction, hio design itawafikia year 2100. Mutaendelea kusoma number.
 
Kama nilivyokwambia unapost picha za sehemu moja tu. sasa jengo moja moja hadi saa ngapi? Si wewe ndio umesema Dar imejengeka? Mbona usipost sehemu zingine.
dar imejengeka na kila area ya 1590 km sq kunajengwa, hakuna sehemu utakwenda dar ukute hapajejengeka
 
under construction, hio design itawafikia year 2100. Mutaendelea kusoma number.
hahahahha onesha picha za under construction tuone hapa kama za kwetu tunavoonesha πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Subiri tukupatie dawa. Tunakupatia Msasani, Kawe, Mikocheni, Sinza, Ubungo, Mwenge, Mbezi, Kinondoni, Ilala nk. Tunaenda mtaa kwa mtaa. Wewe kaa mkao wa kula. Halafu acha kulia lia kama toto la mama.
tena ilala ni balaa majengo yanajengwa kila kona i think by 2020 ilala nzima itakua magorofa so imagine ukubwa wa ilala ulivo
 
Ndio mmeanza kujenga 2015 building tano ya glass, mnakuja hapa kujisifu as if mlianza 1980.
sisi tumejenga 10 yrs dar lakini speed yake hata mupewe 80 yrs hamuwezi kuifikia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nairobi ni world class city...
ata ukifika oslo,Salvador, wellington, Osaka, Vancouver utajibiwa vizuri....
Si tunajenga buildings bila plan.
hahahha nyako maber hataki kukubali dar ni hatariii hapashkiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…