Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolalas wanapenda sana kuropokwa, lack of proper education ni mbaya.
most kenyans are un educated or are just goons by nature, imagine kuna kiongozi anawaambia wakenya kuna re-inovation kasarani stadium 🀣 🀣 🀣 🀣 , somehow magically it will turn to the latest settings 🀣
but i can understand since you dont understand what quality football is, ni wakenya wachache utawaona wanajua mpira mfano walioraise awareness kuhusu talanta seats wengine wote sasa 🀣🀣
 
Hata Diamond Platnumz amekuja Nairobi mara nyingi and still chose Dar es Salaam
Hata huku Tanzania kuna watu wamekaa Dar es Salaam at the end of the day wakachoose Zanzibar, au wamekaa Zanzibar kisha wakachagua Arusha. Kila mtu ana preference yake
Nairobi haiwezi kupendwa na kila mtu, na Dar pia sio ya kila mtu
Kwa kuwa Chief Godlove amepapenda Nairobi hauwezi ku jump kwenye conclusion kuwa Nairobi ni bora kuliko Dar. Big NO 🚫
 
ungejua wakenya wanavolia kukaa tanzania 🀣🀣

View: https://www.tiktok.com/@willybmapuga/video/7599404004463938824?is_from_webapp=1&sender_device=pc

View: https://www.tiktok.com/@willybmapuga/video/7599404172244487442?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
if you only knew kuna mpaka radio 24 hours ni kuzungumzia tanzania, hakuna mtu anaipenda kenya ni vile tu hawana namna

View: https://www.tiktok.com/@correct576/video/7597397262817398027?is_from_webapp=1&sender_device=pc
 
kazi ni kuipenda tanzania na kujificha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…