Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana CHAN serikali yao ilikuwa inanunua tickets zote halafu wanagaiwa. 😂😂😂
Kama tu bajeti ya timu moja ya Tanzania ni bajeti ya ligi yao nzima unategemea nini!
Wewe Scammer anaongea hapa na serikali yenu even after buying for you tickets bado mlishindwa kufika uwanjani juu hamkupewa transport za bure pia😂😂
 
Wewe Scammer anaongea hapa na serikali yenu even after buying for you tickets bado mlishindwa kufika uwanjani juu hamkupewa transport za bure pia😂😂
ivi nani aliwaambia uwanjan unaingia kwa kuruka ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…