Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,210
- 107,808
I'm sure huyu alikuwa anaongelea Tanzania 😂😂😂https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=2318747711883898&__cft__%5B0%5D=AZbZGUb3yh8xeN1_jhhtFUBmY8FwrVSJL3l_a8fj1DVNQoRj56vmkfe0CzJLRZDm4Vc3EK-Mo8Ma2xkKXjV2XPnEDE2OQl4-PLPDmPLwP-_NrwhC_4PIAXFnvdBzDd5ornITz1xBkUt9fmY6Qn8BhouVFkcadkaoMV5x-D5SfnAoqxqDtOZ1_l7RxSoZyGCtuBBhoMYOaASwfamY843t3-Rx&__tn__=%2CO%2CP-R
Sio Ukunduni? Tupe sababu kwann Ukunduni mmeweka viwanja vyote Nairobi? Sisi Zanzibar, Dar es salaam, Dodoma na Arusha kote kunafikika kirahisi kuanzia viwanja vya ndege, modern speed boats mpaka kwa treni mpaka kwa mabasi ya mikoa! tena kwa Dar tuna mpaka BRT!
Barabara ya kwenda Samia Stadium ni vumbi. Nishaipita.Sio Ukunduni? Tupe sababu kwann Ukunduni mmeweka viwanja vyote Nairobi? Sisi Zanzibar, Dar es salaam, Dodoma na Arusha kote kunafikika kirahisi kuanzia viwanja vya ndege, modern speed boats mpaka kwa treni mpaka kwa mabasi ya mikoa! tena kwa Dar tuna mpaka BRT!
Kuna barabara ya Arusha Stadium? Mnajenga watu uwanja kwa msitu what do you expect?Sio Ukunduni? Tupe sababu kwann Ukunduni mmeweka viwanja vyote Nairobi? Sisi Zanzibar, Dar es salaam, Dodoma na Arusha kote kunafikika kirahisi kuanzia viwanja vya ndege, modern speed boats mpaka kwa treni mpaka kwa mabasi ya mikoa! tena kwa Dar tuna mpaka BRT!
Na hakuna dalili ya Lami kuwekwa hapo kabla ya 2027.Barabara ya kwenda Samia Stadium ni vumbi. Nishaipita.
kwahiyo itabaki hivyo? BTW nimesahau vituo vya mabasi vya kisasa! kituo cha Mabasi Bondeni city Arusha!Barabara ya kwenda Samia Stadium ni vumbi. Nishaipita.
Hapo mashabiki watakula vumbi hadi wachokeNa hakuna dalili ya Lami kuwekwa hapo kabla ya 2027.
We are talking of things that exist, not dreams.kwahiyo itabaki hivyo? BTW nimesahau vituo vya mabasi vya kisasa! kituo cha Mabasi Bondeni city Arusha!
View: https://youtube.com/shorts/2LmPTFdmNPw?si=U-Ek2QkkLVi5LhIa
We’d mind if this was coming from someone from Morocco or South Africa,
You wouldn't say the same if he had mentioned Kenya alone. 🤣 🤣 🤣We’d mind if this was coming from someone from Morocco or South Africa,
Some random ignorant elderly from a poor country Ivory Coast?
Huwezi linganisha nchi za hovyo za Africa Magharibi huko na nchi za East Africa.You wouldn't say the same if he had mentioned Kenya alone. 🤣 🤣 🤣
On that, I agree with you.Huwezi linganisha nchi za hovyo za Africa Magharibi huko na nchi za East Africa.
Kenya has three stadiums, all in Nairobi. Nyayo stadium is just next to the expressway. Ukipata kuu ya expressway unaona wachezaji uwanjani. Kasarani stadium is served by the busiest road in East and central Africa - Thika road. Talanta stadium is served by Ngong which is currently undergoing expansipn and construction of an overpass. The guy was definitely talking about Uganda and Tanzania which are building stadiums in the bushSio Ukunduni? Tupe sababu kwann Ukunduni mmeweka viwanja vyote Nairobi? Sisi Zanzibar, Dar es salaam, Dodoma na Arusha kote kunafikika kirahisi kuanzia viwanja vya ndege, modern speed boats mpaka kwa treni mpaka kwa mabasi ya mikoa! tena kwa Dar tuna mpaka BRT!
Majamaa wana focus na Viti via Talanta na hata hakuna lami kwenda Samia cow vajayjay stadium… misplaced personal priorities..😁😁Na hakuna dalili ya Lami kuwekwa hapo kabla ya 2027.