Wanautaka sana ila so sad mlima ni wa TanzaniaHata wenyewe wanajua ndo maana kila siku wanalilia Mt Kilimanjaro!
double decker zipo mbna, ni zile route ya kwenda mwanza, kigoma ndo kuna watu shaziTRC chini ya mwehu Kadogosa, walichenka sana kuvunja mkataba na kutoleta behewa na locomotives zote za double-decker.
'who knows around the World that kenya has this kichuguu?'πππππwho knows around the World that kenya has this kichuguu?
Wakenya ndio siku zote wanachukia Tanzania. Hata people from other African countries wanajua hilozipo nyingi, nakumbuka kuna a tz alikua anauza njugu alikuja jamaa mmoja i think from mombasa akazimwaga akasema warudi kwao
Yeah, who knows?'who knows around the World that kenya has this kichuguu?'πππππ
View attachment 3528542
sio wote, nna marafiki kadhaa na ex mmoja wa kenya! they are very good people, sku wakiwa kwenye maandamano we angalia comments utaona kuna ambao wako sawa kabisa! pia hata shulen nmesoma kulikuaga na mkenya mmoja alikua very good utadhan mbongoWakenya ndio siku zote wanachukia Tanzania. Hata people from other African countries wanajua hilo
Ila Kenya ni kama ancestors wenu walikuwa wanakula miti. Most of places in your country are dry despite being near the Equator
Sasa mtu kama wewe hujawahi kanyaga njee ya Mbeya utajuaje surely?ππππYeah, who knows?
You need a brain transplant you kid.Wewe endelea kupretend huelewi ninachomaanisha
Sasa bila kutoka nje ya Mbeya narudi vipi nyumbani? When Nairobiwalker spoke about brain transplant I think he was referring to you π€£π€£Sasa mtu kama wewe hujawahi kanyaga njee ya Mbeya utajuaje surely?ππππ
Hiyo ya Kenya unaweza sema ni Made in Burundi ππ
ya kwetu inaenda mpaka burundi kwahio na wao watakua an electric train, infact inavuka mpaka congoHiyo ya Kenya unaweza sema ni Made in Burundi ππ
Which means Burundi will get electric train earlier than Kunya π₯π₯ya kwetu inaenda mpaka burundi kwahio na wao watakua an electric train, infact inavuka mpaka congo
Kenya arguably has the most diverse landscapes in the continent my guy,outside south Africa,Morroco and Algeria ... from the beautiful Sand Dune deserts, white/brown/golden sandy beaches, Icelands,cliffs,caves , canyons, valleys, lakes,rivers, snow capped mountains, rolling hills and mountains, the Savanahs, bushland, woodlands,grasslands,cool green highlands e.t.c If your confident and ready twende battle ya landscapes!π€Ila Kenya ni kama ancestors wenu walikuwa wanakula miti. Most of places in your country are dry despite being near the Equator
But Tanzania has more beautiful landscape than Kenya. Kitu ambacho kinakupa jeuri kusema Kenya ina more diverse landscape ni hiyo desert ambayo sisi hatunaKenya arguably has the most diverse landscapes in the continent my guy,outside south Africa,Morroco and Algeria ... from the beautiful Sand Dune deserts, white/brown/golden sandy beaches ,.valleys, lakes,rivers, snow capped mountains, rolling hills and mountains, the Savanahs, bushland, woodlands,grasslands,cool green highlands e.t.c If your confident and ready twende battle ya landscapes!π€