Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I can see how embarrassing Kisumu is πŸ˜‚πŸ˜‚
Stop forcing issues here. That's not Kisumu and even if we assume it's Kisumu, is it as embarasing as these ones below?


Kijana wa Tandale you can't compare Kisumu even with your second biggest city Mwanza when it comes to residential areas. Kisumu beats Mwanza hands down!
 
Kuna kitu nimeshinda nikisema humu Kila siku. Here is the last time I said it.πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ


Cc. instanbul
Hawa wako na wivu za kike. I can vet on my three cents that if a highrise project comes up in Dar this minute, they'll spam this thread with pictures of the same, forgetting how they used to tell that that magorofa sio maendeleo. Ni watu wa kuenda nao tu hivyo
 
Ukweli unauma mpaka umeanza kupanick.

And who told you BRT system imefeli?
Baada ya kusoma congestion kwa route moja ya Kimara ambayo nayo wameiongezea mabasi last week?

Relax kwanza halafu usome reply yangu vzr. Usipanick
There isn't anything you wrote in that composition that I didn't understand. It's only that I am dealing with a blind patriot
 
Vet of that Korogocho and learn.

You sound very DUMB
 
There isn't anything you wrote in that composition that I didn't understand. It's only that I am dealing with a blind patriot
BRT imekufa au sio!

Ndo kwanza inazidi kuboreshwa.

Juzi nimepita Njia ya mbagala. Phase ni anytime. Nimeiona wanafunga mashine za kuscan


View: https://youtu.be/nWPxNVyX1vw?si=q-8o95pyxeHOluhy
Mimi ninachokisema kuhusu Nairobi ni kweli. Mlikosea Miji Mingi duniani haina expressways katikati ya majiji. Bali zinakuwa nje ya Miji. Mfano Nairobi Nakuru, Nairobi Mombasa. Nk

Ile ya Kampala expressway ndo imepatiwa

Kwa Tz tunaweza Jenga Kibaha to Morogoro hivyo Yani. Sio kuweka expressway ya Bunju tu Airport. Badala ya light rails, metros, BRTs etc
At least hata mngeacha Njia ya tren katikati

Hebu Tz hii video ulie zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…