TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,087
- 3,392
Wakenya jaman hadi funza bado mnazo karne hiii...hahahahha kaaaaAjabu mpaka sasa Mnafunza
Middle income Watu zaidi ya 2ml full funza kweli
Ficha upumbavu wako
Wanafunzi 2 milioni kupewa viatu kuzuia uvamizi wa funza
Haha facts umewekewa hapo najua ni uchungu but mnajenga a class 3 railway
Kama mngekua na akili mngejiulia, mbona tuna GDP kubwa lakini tuna njaa, tuna slums, tumeshindwa kujenga electric train, unemployment, tunaongoza kwa deni kubwa, hiyo GDP yenu inatumika wapi?Give us 18000 km tz...GDP of 46 vs GDP 69
Acha ujinga wewe. Nianze kusoma maelezo yenu hapa kwa faida yenu. Hebu sema
Class 1 ni nini?
Class 2 ni nini?
Class 3 ni nini?
Mbona unaleta ubabaishaji hapa?
Huna uwezo dogo. Unajiaibisha
SGR inayojengwa tanzania ni one of the modern and second fastest train in africa yani kwa mara ya kwanza east and central mutakuja kushangaa hapa tanzaniaπKumbe Tz wanashindwa kujenga hata class 3 SGR na vile wanapiga domo unaweza dhania wamekomboa ile bombardier yao...masikini wa kutupwa.
17 million??? ..Kenya 35 millionTanzania SGR
The 300 kilometers rail line will be able to carry passengers and cargo up to 35 tons and transport a total of 17 million tons of freight per year at a speed of up to 160 kilometers per hour.
President Magufuli reminded that the railway will also improve the movement of passengers and cargo to the neighboring countries of Rwanda, Burundi, Uganda and the Democratic Republic of Congo, stimulating regional trade, and will generate 600,000 direct employments.
View attachment 664384
sasa hio unafananisha na hiiπππππThis is the electric train Ethiopia
35 munabeba mzigo wa nani hahah rwanda ashawakimbia ethiopia sasa ana deal na djebouti, uganda anaitaka tanzania nyie bado munamlili na kumramba miguuππ17 million??? ..Kenya 35 million
Double stack yenu single....cheap things ni mbaya
Currently Mombasa hundles 30 million tonnes...tuliza haga 2020 it would be 40 million35 munabeba mzigo wa nani hahah rwanda ashawakimbia ethiopia sasa ana deal na djebouti, uganda anaitaka tanzania nyie bado munamlili na kumramba miguuππ
Kwikwikwikwikwi yaani unaonekana kama kichaa hapa. Hapa dogo tunaongea kwa proof. Siyo maelezo leta information hapa tuone. Nakuona sasa unachachawa kama kuku wanayetafuta kutaga.17 million??? ..Kenya 35 million
Double stack yenu single....cheap things ni mbaya
Rwanda lauds Kenya's SGR progress, cuts a Sh124bn deal with China for own line35 munabeba mzigo wa nani hahah rwanda ashawakimbia ethiopia sasa ana deal na djebouti, uganda anaitaka tanzania nyie bado munamlili na kumramba miguuππ
uhakika asilimia 100 πππ na hichi ndicho wakenya hawapendi kuskiaAisee unauhakika 2020 Bagamoyo port inaanza kupokea meli?
Haha 35 million tonnes na ni double stack...this is a class 1 railway dudeKwikwikwikwikwi yaani unaonekana kama kichaa hapa. Hapa dogo tunaongea kwa proof. Siyo maelezo leta information hapa tuone. Nakuona sasa unachachawa kama kuku wanayetafuta kutaga.
Nakusikitika kwa kuwa na ufinyu huo wa akili. Tafuta kujua habari za nchi zingine. Dogo Tanzania is fire.
Mtakopa sana kipindi hiki ili mshindane na Tanzania.
Hivi kenya hawana mfumo wa kutenga sehemu za dampoz????
hvi wewe unamjua kagame akitumia ujenze wa SGR tanzani atasave 124 million usd yani azitupe 124 m usd wakat nchi yake ina shida hahahhaha πππ
Museveni gave u a pipeline as a consolationhvi wewe unamjua kagame akitumia ujenze wa SGR tanzani atasave 124 million usd yani azitupe 124 m usd wakat nchi yake ina shida hahahhaha πππ
forget about rwanda nyie mlilieni uganda tu na bado anaitaka tanzania
will be upgraded wakati muna deni ambayo hamuwezi kuilipa kwa wakati, deni itawagharimu 40 yrs to comeNigeria wamejenga Sgr juzi, haitumii stima.
Ethiopia walijenga ya stima, imeshindwa kufanya kazi.
Kenyan Sgr will be upgraded in 3yrs time to be electric