Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz has 5000 km paved....achaga kujiabisha hapa
 
Haha 46 billion USD vs 69 billion usd
 
Hiyo ni TARURA rafiki yangu. Hiyo imeanzishwa 2016 ndiyo ina mwaka mmoja tu.
Ukitaka taarifa za barabara Tanzania unatakiwa uelewe nani anahusika na nini.
1. TANROADS
Nenda (Tanroads)
TANROADS Official Website :: Home

2. TMISEMI
President's Office Regional Administration and Local Government | Tanzania

Pitia huko utaelewa kila mmoja na barabara zake.
 
Tz has 5000 km paved....achaga kujiabisha hapa
Kila mara huwa ninauliza swali kuhusu uwezo wenu wa kufahamu mambo, nimeuliza, hivi zaidi ya English and tribalism, huwa mnafundishwa nini tena? mbona hamjibu hilo swali?, kwasababu uwezo wenu wa kuelewa mambo ni mdogo sana, Tanzania is bigger twice the size of Kenya, road network is also nearly twice that of Kenya, while percentage of tarmac road is almost the same, a bit higher on Kenya side, which country has longer tarmac road network?
 
Story book andikia bibi...give as facts
 
Kuna comparison ya railways hapo..mnajenga AREMA railways (class 3) Ethiopia (class 2) ke na ug (class 1)
Hato ni maelezo yako kwa kukosa point. Unaongea tu bila hata proof. Ili mradi unajua terminologies ndio uongee ovyo ovyo
Unataka tuanze kuchambua Reli yenu ya kenya siyo?
 
Hato ni maelezo yako kwa kukosa point. Unaongea tu bila hata proof. Ili mradi unajua terminologies ndio uongee ovyo ovyo
Unataka tuanze kuchambua Reli yenu ya kenya siyo?
Reli yenu class 3 and not safe....soma iyo PDF utaelewa....cheap Tanzania
 
Reli yenu class 3 and not safe....soma iyo PDF utaelewa....cheap Tanzania
Acha ujinga wewe. Nianze kusoma maelezo yenu hapa kwa faida yenu. Hebu sema
Class 1 ni nini?
Class 2 ni nini?
Class 3 ni nini?
Mbona unaleta ubabaishaji hapa?
Huna uwezo dogo. Unajiaibisha
 
Huna uwezo wa kufanya argument za kisomi. Umeulizwa swali la maana unakimbilia kutoa povu. Uwezo wenu wakenya ni mdooooooogo sana. Wanasiasa wanawaharibu.
Haha facts umewekewa hapo najua ni uchungu but mnajenga a class 3 railway
 
Acha ujinga wewe. Nianze kusoma maelezo yenu hapa kwa faida yenu. Hebu sema
Class 1 ni nini?
Class 2 ni nini?
Class 3 ni nini?
Mbona unaleta ubabaishaji hapa?
Huna uwezo dogo. Unajiaibisha
Arema ni railway ya zamani..class 3 rail
 
Kumbe Tz wanashindwa kujenga hata class 3 SGR na vile wanapiga domo unaweza dhania wamekomboa ile bombardier yao...masikini wa kutupwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…