Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utapeli tu hakuna kitu hapo, mmetolewa kwa dakika 90 kama makondoo.
Sawa tunakubali ila ukweli umejidhihirisha umefungwa na timu ya 135 kwa viwango vya FIFA.
Kheri mimi nimefungwa na aliyenizidi.
Huyo Madagascar mara zote alikua akikutana na Tanzania ushindi wake ni sare. Tumemfunga sana na akikutana na sisi hafui dafu.
 
Ni kweli tuna kiwango kikubwa kuliko team yoyote EA ila tutafute kocha makini, tuache makocha wa kubaatisha kama hawa, afcon tutadhalilika.
Kocha hachezi mpira, wachezaji ndo hakuna. Hapo sioni mtu anaweza pewa namba Harambee stars. Inshort league yenu imevuliwa chupi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Penalties hazina heshima bongolala. There's nothing wrong with Harambee stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…