ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,447
- 89,848
Kipa tunaeHalafu huyu YUSUF KAGOMA embu wamtoe. Atatusababishia kadi nyekundu muda si mrefu.
Anatumia sana nguvu.
Kipa anajitahidi sana.Kipa tunae
Nawaona manyang'au yamebinya makende๐Kipa anajitahidi sana.
Mzize naye alitukosesha magoli mawili ya wazi.
Kuna muda anakosaga umakini.
Morocco hawa tukikaza tunawatoa.
Fainali inahamiswa Dar, CAF hawawezi kubali kutiwa aibu vile. Wanatia aibu Africa nzimayes taa zao ovyo kabisa alaf pitch pia mbovu ๐๐๐๐๐
Hatuna wasiwasi juu tuko sure mnatolewa.Hapa na mimi nipo Nikifurahia Kunyan kutoka
Japo Siiamini Timu yangu.
Ila Roho Kwaaatu mbwa hawa Kutolewa
View: https://www.instagram.com/reel/DNqj5xws2NT/?igsh=Z2FkNGw2amZ1enRq
Kuleni mabao pole pole๐๐๐ญ๐ญ
Yale majigambo yenu yako wapi?๐Kuleni mabao pole pole๐๐๐ญ๐ญ
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1958959346811117749?t=m92p_Zx8cdwtsRoSID7HTA&s=19
Ni aibu kufunga normal time ๐๐๐ญ
Muambie sisi hata tukifungwa wala hatuumii ila tutakula bia kushangilia ushindi wa member mwenzetu wa SADC. ๐๐๐๐
Bia za 50 bob๐ญ๐๐Muambie sisi hata tukifungwa wala hatuumii ila tutakula bia kushangilia ushindi wa member mwenzetu wa SADC. ๐๐๐๐
View attachment 3449489
Hakuna aibu wala nini. Kwani hujui mpira una matokeo matatu. Nyie nyang'au mlikuwa na kamdomo sana๐Ni aibu kufunga normal time ๐๐๐ญ
Hivi wewe nyang'au unapata wapi ujasiri huu wakati ulitamba sana kabla ya kutolewa?๐Jirani amechezewa kwa Kizungu hajui ajibu Nini๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Official language ya Morocco ni Kiarabu, hiyo kizungu pengine umetoa kwenye mkundru wako. ๐๐๐Jirani amechezewa kwa Kizungu hajui ajibu Nini๐คฃ๐คฃ๐คฃ