ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,864
Wajenge passenger terminal na berth yake pale usawa wa kutokea azam marine hadi wizara ya ardhi,au kama vipi kupunguza msongamano waijenge karibu na Tanzanite bridge
Ndio hivyo CHOKORAASawa bongolala
so tofaut ni nn hapo wewe kweli ni punda 😂Unakuanga na akili wewe? Ama huwa unajibu Tu posts za watu for the sake of replying?
Naongelea Lake Victoria lakini wewe unaniletea vitu vya Zanzibar which is even not along the shores of Indian ocean.
The first and only amphitheater along Lake Victoria is in Homa Bay County in Kenya.
View attachment 3439705
alaf wanapiga na makofi kabisa 😂😂😂Angalia Nchi anayoitwa masikini ikizindua miradi ya maji na Li nchi filthy rich likizindua mkojo 😂😂😂😂😂
kama inauma sana fanya kama unasogea mbele hvi ichomoke plz😂Utashinda umerudia hii habari na emoji zako umekuwa mtoto?
Kama hujawahi kufika Kenya halafu ukasikiliza hawa mbuzi wa kibera unaweza kufikiri Kenya ni kama Hong Kong, Singapore au Switzerland! Kunbe ni nchi fulani ya dunia ya tatu masikini tu ambayo mpaka leo raia wengi tu hawana uhakika wa hiduma za kawaida za jamii. Nchi ambayo Second city yake hadi leo wanauza maji city centre na hadi leo mji unejaa nyumba za udongo na takataka nyingine.Just because you are Bongolala, doesn't mean you become a fool.
Kenya has had SEZ since when you father was a young man. Our most successful one in Athi River since 1990 has single-handedly been one of AGOAs biggest exporters in Africa since inception.
Just because something is going by a different name... anyway, only a bongolala brain.
Since then, Kenya has had numerous other SEZs. Maybe the one you're most familiar with is Two Rivers and Tatu City.
There is also Nairobi Gate, plus many others outside Nairobiu
Unlike yours, ours are actually functional and privately-owned. The only way LDC bongolala can fund anything big physically, like a new stadium, if when Mama Aida Amina diverts funds from critical things like health and education.
You building anything comes at the expense of social welfare, and unlike you who's never stepped foot in Kenya, I've traveled to bongo several times. Pathetic.
I came to realize even arguing here is like a guy in Karen justifying his place in society to a Kawangware hawker.
For Dar to even compete with Nairobi. For 99% of tourists and foreign YouTubers to 'prefer' Nairobi after visiting both. For Dar to even rank anywhere on anyone's wishlist. For you to win tourist on anything other than what nature (Serengeti) and the queen gave you....
You need to demolish 90% of the buildings in DarSlum. Start from scratch, plan a grid or something organized, and think seriously about your future.
No amount of flyovers will help when 98% of the city looks like a ghetto the moment you exit the main highway.
The same American YouTuber who thought he had entered some place in Atlanta upon leaving JKIA, commented that Dar reminded him of Haiti upon leaving JNIA.
Trust me: It's easier to force the government to build a road and infrastructure, than to force 10,000 home owners to demolish their 1950s-looking structures and build modern buildings.
Bongoslum is atleast 50 years away to being the Nairobi of 2025.
If you don't agree with that assessment, go argue with your grandparents.
Miradi ya kupeana ki ndugu huwa haifiki mbali. Seen this before.
Hawa IFFHS wapo sahihi sana katika rankings, ni kama zile za ulaya. Rankings zinatakiwa kuakisi mafanikio ya timu kwa mwaka husika, tofauti na hizi rankings za CAF ambazo hazinaga ukweli wowote. Yani ukitumia utaratibu wa CAF ku ranks clubs utagundua kwamba ahly ataendelea kuwa namba 1 Africa hata kama atashuka daraja kwa misimu miwili (irrelevant).kitu wanayo wakenya na mikia na makende
View: https://www.instagram.com/p/DNS6dUMNCyP/?igsh=MThqOHVhYzZ2eDBncA==
Hata huko kenya wanatamani sana. But Timu za Tanzania hazitokaa kucheza huko. Nchi imejaa fujo.rwanda wamefurah kuiona yanga 😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DNTzWU8MYh3/?igsh=MXZ5cHpiNHh2M3p2dQ==
yap mara nyingi CAF ranking zao zimekaa kwa ajili ya ku favour team zao 👍👍Hawa IFFHS wapo sahihi sana katika rankings, ni kama zile za ulaya. Rankings zinatakiwa kuakisi mafanikio ya timu kwa mwaka husika, tofauti na hizi rankings za CAF ambazo hazinaga ukweli wowote. Yani ukitumia utaratibu wa CAF ku ranks clubs utagundua kwamba ahly ataendelea kuwa namba 1 Africa hata kama atashuka daraja kwa misimu miwili (irrelevant).
Mbona unaandika ujinga kaka? Unatutia aibuHawa IFFHS wapo sahihi sana katika rankings, ni kama zile za ulaya. Rankings zinatakiwa kuakisi mafanikio ya timu kwa mwaka husika, tofauti na hizi rankings za CAF ambazo hazinaga ukweli wowote. Yani ukitumia utaratibu wa CAF ku ranks clubs utagundua kwamba ahly ataendelea kuwa namba 1 Africa hata kama atashuka daraja kwa misimu miwili (irrelevant).
I said Lake Victoria. Ama kusoma ndio hujui?so tofaut ni nn hapo wewe kweli ni punda 😂