Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Polepole anatapata wapi, mbona nyuki wameanza kutoka kwenye mzinga?

Simon amepotea sana, yuko wapi. nyingi kimya.
Nyuki gani hao? Hata kina Lowasa walitoka kipi kiliharibika?

Mtatapatapa weee matamko ila hakuna kitu mtafanya ,SSH is here to stay Hadi 2030.

Yuko Kwenye cc ya chama Toka 2007 wakati kina Slowslow na wengine wananuka shombo za Maziwa ya mom zao.

Sana sana mtaendelea kutengeneza maisha watu Kwa njia ya viewers etc kama kina Kigogo,Mange na wapuuzi wengine
 
Hizi ni aibu gani wallai, ati this is an opening ceremony. CAF will never repeat the mistake again πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

See how the Stadium is empty πŸ˜‚πŸ€£
 
Kumbe hata Karasani ilijengwa kwa Chinese aid back then, I didn't know this one.
Apparently you guys despite mightly bootlicking the west capitalists, the communist republic has been too charitable to the poor kenya nonetheless, since immemorial.
Why do Bongolalas act as if they own China?
 
Umeona kama hapo imebondeka kama pitch ya Makwapa?

Anyway unasemaje kwa Tania yenu ya kutojaza Stadium?

View attachment 3430700
We mnuka ******, wapi kumobondeka.? This is clear pictures πŸ‘‡πŸΎkunyarenda utapata these qualities in the next decades. 🀣🀣🀣🀣. Kasarani yesterday πŸ‘‡πŸΎ
 
Nyuki gani hao? Hata kina Lowasa walitoka kipi kiliharibika?

Mtatapatapa weee matamko ila hakuna kitu mtafanya ,SSH is here to stay Hadi 2030.
Mungu atupe uzima tutaona ila wana mtandao matumbo yanawaka moto.
Yuko Kwenye cc ya chama Toka 2007 wakati kina Slowslow na wengine wananuka shombo za Maziwa ya mom zao.
Huyu Simon gani unaye mwongelea?
 
Mbona unatuletea filtered pictures before mtu akanyage?

The real state of Makwapa ndio hii hapa, na ujue hapo bado hakujanyesha cause we all know how Makwapa is when it rainsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hizi ni aibu gani wallai, ati this is an opening ceremony. CAF will never repeat the mistake again πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

See how the Stadium is empty πŸ˜‚πŸ€£
View attachment 3430706
This stadium is almost twice the size of kasarani. 45k seats vs 65k seats. And still kasarani was empty πŸ‘‡πŸΎπŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Mungu atupe uzima tutaona ila wana mtandao matumbo yanawaka moto.

Huyu Simon gani unaye mwongelea?
Kuna video niliona Kuna Mkoa raia wanatupa Kadi za uanachama CCM na wanarudisha baiskeli.
Hakuna awamu CCM imebugi ama awamu hii ya Samia Suluhu.
Daah ni basi tu tupo TZ ila hakuna kiongozi wa hovyo kama huyu mama kuwahi kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…