Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nilidhani middle economy mpo more civilized kutuzidi.kumbe sio.

sisi tuli ban shisha since 2016....sioni mantiki ya Kuban shisha.
siku huzi huwa wanachanganya na unga juu ya competition kali. inaharibu vijana
 
tanzania hatutaki kusikia ujinga unaoitwa miraa....tangu lini majani mabichi yakatafunwa na binadaamu,kwani wao mbuzi au ng'ombe?.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Sa alikuwa akufunguwe boot?
 
Kiwanda cha Viatu vya ngozi Karanga Moshi (Magereza)
















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…