NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,315
- 19,685
Mbona umeita Kings Rifles badala King's African Rifles? Mbona unatoa hiyo African?1961 mlikuwa independent? Mpaka ujitambe? Unajitambia jeshi la polisi la mwingereza! Unajua King’s rifles? Sikutegemea utakuwa mpuuzi hivi! FYI information hata hilo la mkoloni senior commanders where Tanganyikans!
R u trying to say we did not have police in Tanganyika? FYI ur army got trained by personel from Tanganyika! U r stupid to not know Zanzibar was a proper British protectorate! While Tanganyika. UN Trustee under British mandate!So why didn’t you get your own GSU at independence if you were the leaders ?
Sijui kwa nini mnafurahi hii miradi?
Kwanza ilikuwa 2013/2014. Wakenya wanapick pick vitu tu mitandaoni bila research.Huyo Sheikh Farid na huyo changudoa wote hawana elimu. Wanachotaka hao Waislam ni kuweka sheria laws huko Zanzibar jambo litakalo establish another Somalia kwenye Indian Ocean.
Hakuna mwenye haki miliki ya nchi ya Zanzibar kati ya wao wanaosema hivyo, hata Kenya huko Mombasa wapo wanaotaka kujitenga, same kama ilivyo United States of America. Nothing new!
Hizo ni kelele za chura kisimani.
Imagine someone anakuambia ati Uganda was not a British Colony😂😂😂🤣Hawa wajamaa hujiona magwiji wa historia yet Kila siku wanatunga historia yao kutumia speeches za Nyerere+ other politicians. If these guys has enough English content online they could be the butt of all jokes on this continent. Kuongea Kiswahili kunawasaidia saana ndio maana only Kenyans know how stupid they really are.🤣🤣🤣
Ingebaki tu. Tanzanite station, Morogoro station na Dodoma station.Kikwete ndio amelazimisha hilo ili jina lake liwemo. Kabla ya hapo kulikuwa kimya.
I like how you always change gears, when the idea started mlisema hatutaweza kujenga all those houses, now that they coming up all over the country tena mmebadilisha gear to kugawiwa ardhi. Who told you they wanted land?Sijui kwa nini mnafurahi hii miradi?
Kwan ardhi imeisha? Kwa nini mjibanebane kwenye hizo bedsitters? Na mna nchi kubwa.
It could be better wangewagawia ardhi wananchi halafu waitumie wenyew kujiongeza.
Bado na picha za Rais kwenye station. Kila mahali. Wageni wanaweza tuona matahira tu. Kumpamba mtu kupitiliza.Imekuwa too much.
Majina kwenye Mabehewa.
Wameona haitoshi wameweka majina mpaka kwenye STATIONS.
Ststion iko ,Dodoma na inaitwa Dodoma Main Station, kulikuwa na sababu gani ya maana kuiita station, jina la mtu wakati tayari mmeshaandika jina lake kwenye behewa.
Kumbe wew ni mpumbavu hiv?Unfortunately 4u I am a student of world history..
View attachment 3376287
Mlisema. Mimi na nani? Mimi nishawahi kucomment Chochote kuhusu affordable housing?I like how you always change gears, when the idea started mlisema hatutaweza kujenga all those houses, now that they coming up all over the country tena mmebadilisha gear to kugawiwa ardhi. Who told you they wanted land?
Imagine someone anakuambia ati Uganda was not a British Colony😂😂😂🤣
Hata hujielewi. So hii screenshot is supposed to say what? Screenshot enyewe inasema Uganda was a British colony, so sijui mnapinga nini.
Unasahau haraka Kama kuku. You always comment about affordable housing.Mlisema. Mimi na nani? Mimi nishawahi kucomment Chochote kuhusu affordable housing?
Unapayukia kila mtu bro.
Jibu hoja
Copper ya Zambia sasa imepata tabibuTanzania inaugurates modern copper processing plant
Source: XinhuaEditor: huaxia2025-06-19 20:13:01
DAR ES SALAAM, June 19 (Xinhua) -- Tanzania has officially launched the country's first modern copper processing plant, marking a milestone in placing Tanzania on the global copper production map, the Ministry of Minerals said in a statement Thursday.
The plant, inaugurated Wednesday by Prime Minister Kassim Majaliwa in Chunya district in the Mbeya region, is operated by Mineral Access Systems Tanzania Ltd (MAST), the statement said.
Describing the facility as a symbol of national aspiration and economic transformation, Majaliwa said that the construction of the plant reflects the government's commitment to promoting local value addition, utilizing advanced technology, and adopting environmentally responsible mining practices.
"It also highlights the steadily improving investment and business climate in Tanzania," he said. "This is a major step toward transforming Tanzania from a raw mineral exporter into an industrial nation capable of manufacturing high-value products from its mineral wealth."
MAST Director Godfrey Kente said the facility aims to process low-grade copper ore containing between 0.5 and 2 percent copper extracted from the Mbugani area in Chunya and that it will upgrade the ore to copper concentrate with up to 75 percent purity, using leaching and cementation technology.
He said the plant can process 31,200 tonnes of copper ore per month, 27,200 tonnes of which are sourced from MAST's own mine and 4,000 tonnes purchased from small-scale miners nationwide.
MAST plans to expand its operations by constructing three additional copper processing plants in the Manyara, Ruvuma, and Dodoma regions, where copper reserves have also been identified, Kente said. ■
Tanzania inaugurates modern copper processing plant
Tanzania inaugurates modern copper processing plant-english.news.cn
Kijana. Ipo shida kwe kichwa chako. Sidhani kama upo sawa. Subiri kesho final utajua hujui.Since Tanzanians are ignoring this event happening now in their backyard ( Azam complex), I will post it . Finals ni Kenya na Bongo . I will take any bet Tanzania watanyolewa bila Maji 🤣🤣🤣
View attachment 3376417
Mfunze history huyo jamaa!
Utalii wa TZ, unategemea zaidi makampuni ya kitalii yenye mahoteli yao hapa ndio yalete wageni wao.Bado na picha za Rais kwenye station. Kila mahali. Wageni wanaweza tuona matahira tu. Kumpamba mtu kupitiliza.
Hizo SGR stations wangeweka vivutio vya Tanzania, tena wakaweka na Bei na jinsi ya kubook. Ni aibu Tanzania hii yenye vivutio kibao kupata wataliii 2million tu. Wengi hawatalii kwa sababu hawajui utaratibu.
Ile Barabara ya Airport, vituo vya mwendokasi wangeweka electronic ads kuonyesha vivutio vya Tanzania. TANAPA wanapata pesa nyingi, kwa nini hawapendi kuitangaza nchi. Hata kulipia YouTube ads? Hata mabasi yote ya BRT kuelekea Airport yangewekwa vivutio tu.
Tungeanza sasa wakati wa kuelekea Chan games, kujitangaza.
BRT 2 and 3 wangefanya haraka haraka zikafunction kabla ya chan games. Watu waende mkapa na BRTs.