Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Truth to be said, hii vita Iran hawezi ku-withstand! Ukiangalia vizuri mamluki wamejaa katika serikali ya Iran yaani kumekuwa na uvujishaji mkubwa wa intelijensia na Wairan wenyewe walio jeshini na sector zoote muhimu!

Kiufupi duniani kote Majenerali huwa hawauwawi kirahisi namna ile! Halafu zile drones zimeingizwa na hao Wairani vibaraka wa Israel!
 
F35 more than 5 zimedondoshwa kama maembe na Iran
Iran air defense system yao iko powa kuliko Iron Dome, hizi video zinaonyesha vile makombora ya Israel yanavyodunguliwa huko Iran sahii. 👇🏾
View: https://youtu.be/mRfGQ9ORvKs?si=y98AHd05MpKbag1l.
Kama si umamluki wa watu wa Iran 🇮🇷 hii Vita Israel anapigwa (anaendelea kila kichapo) na America akitia pua pia anakula kichapo. Iran anayo backup ya Russia na China 🇨🇳 kule BRICS.

Sahii Tel Aviv, Haifa na Jerusalem hazina tofauti na gaza zote zimechakazwa vibaya mno.

Kunyans hawajui hayo kwasababu ni kondoo wafata mkumbo wa western propaganda.
 
Waajemi, Trukic, Mongols na Chenese walikuwepo kabla ya wazungu. Wanaijua dunia hii zaidi
 
Ulipata haki yako?


View: https://youtube.com/shorts/I2MrMwbS4Aw?si=7NVBaHaeSgoiOFGc
 
Israel is very strategic with their attacks, they know who to take out and where to attack. Na. Wakianza hio shuguli they don't miss, lazima iwe successful. Ona vile walimaliza all leaders wa Hamas, sahii wanadeal na military generals wa Iran one by one. Iran on the other hand wako frustrated wanarusha tu missiles ovyo ovyo, mingi hata ziko off target.
 
Hakuna kitu mzee. USA and Europe is a dying horse. Mambo yote sasa ni China, Iran, Russia na Pakistan
 
Hii ni vile unavyotamani iwe sindio.? 🤣🤣🤣 mana uhalisia upo tofauti.
 
Damn hizo F35's are something else.😱🫡
America exports them but the variants vary with Israel always getting the cream of the crop. Hata the F-15s za Israel are better than similar ones America sold to Saudi . This to ensure the Jewish state has an edge always over her hostile neighbors.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…