Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania National Service vs Kenya National Service.

1. Nationa Service ya Tanzania ni JKT ipo na Makampuni, ipo Chini ya Jeshi

2. Kenya National Service ipo chini ya TVETA haina Kampuni.

Kenya National Service inafanya kazi kama VETA Tanzania.
 
Cc
Yes labour is a service ila hiyo labour imefanyika kwenye economy gani? How do you measure economic output na labour ambayo haijafanyika nchini? Saa ingine muwe mnakubali kujifunza kidogo
Utasema kuwa umefanya labor export pale ambapo kuna mnunuaji na muuzaji .
Mfano ni kwenye mpira, ikitokea nikamnunua mchezaji flan kutokea nchi nchi flani ili aje kutoa huduma ya mpira kwenye nchi k ,hiyo itahesabika kama labor export maana kuna economic transaction ila nikitoka Kenya kwenda kuomba kazi uarabuni haiwezi kuhesabika kama ni labor export maana hakuna aliyeniuuza ili apate faida.
 
Kama una A darasan ila umeshindwa tofautisha kati economic na non economic transactions, inaonesha udhaifu wa elimu yenu
 
Kwanza define what is exports
Export is selling of goods and services in a foreign country. Labor is service and it’s normally exported to other countries through workers migration, Kenya earn from these emigration through Rememittance. Sasa ni nini ngumu hapo kuelewa?
 
Kama una A darasan ila umeshindwa tofautisha kati economic na non economic transactions, inaonesha udhaifu wa elimu yenu
Uzuri Kenyan standard of education is far much higher than remaining East African Countries. That’s why your politicians and rich people send their kids to study in Kenya. My straight A’s you will only dream of, wewe sidhani hata Kama ulipata D in any subject.
 
Sasa unalinganisha revenue ya national government from your region na revenue ya county government? Kweli wewe ni nguruwe.
 
What rich people and politicians?

Can you share some of them?

Kenye kuna elimu gani?
 
Export is selling of goods and services in a foreign country. Labor is service and it’s normally exported to other countries through workers migration, Kenya earn from these emigration through Rememittance. Sasa ni nini ngumu hapo kuelewa?
Hii umesoma darasa gani.? Una tafsiri sheria za uchumi kwa uelewa wako wa kimaadazi.? 🤣🤣🤣

Hii discussion ulipigwa tangu jana usiku. Take your L and retreat. Enda usome mzee.
 
Hii umesoma darasa gani.? Una tafsiri sheria za uchumi kwa uelewa wako wa kimaadazi.? 🤣🤣🤣

Hii discussion ulipigwa tangu jana usiku. Take your L and retreat. Enda usome mzee.
Show us your results slips. I don’t engage dunderheads, in your village do you even have any person who scored A in their exams? Hata hapo msituni uliko, kuna any baboon that went to school?
 
Show us your results slips. I don’t engage dunderheads, in your village do you even have any person who scored A in their exams? Hata hapo msituni uliko, kuna any baboon that went to school?
Retreat bana. Hii discussion haiihitaji vilaza manzee. 🤣🤣🤣 usione Haya. Una claim kupata A plain na bado ni kilaza.? Hio cheti enda ufungie chapoo bhana. Ni useless.
 
Retreat bana. Hii discussion haiihitaji vilaza manzee. 🤣🤣🤣 usione Haya. Una claim kupata A plain na bado ni kilaza.? Hio cheti enda ufungie chapoo bhana. Ni useless.
Where is results slips? Unajua hata results slip ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…