chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,083
Hizo pekee zinatosha kumfanya Ruto apate second term swiftly kwenye Shithole kama KunyalandEldoret ni jiji la 3, kwa ukubwa Kenya.
Check watu wameamka usiku kushangaa taa za barabarani. Maana hazijawahi kuwepo.
View: https://x.com/kilundeezy/status/1933060513375653928?t=ESJ7SiNPeAm8VC6m_mWTMw&s=19
| Country | Defence Budget 2025/2026 (USD) |
|---|---|
| Tanzania | 2.08 billion |
| Sri Lanka 🇱🇰 | ~1.5 billion |
| Kenya 🇰🇪 | ~1.1 billion |
| Uganda 🇺🇬 | ~1.2 billion |
| Georgia 🇬🇪 | ~0.49 billion |
| Bulgaria 🇧🇬 | ~2.0 billion |
Inaonekana Tanga kumecharuka , yaan abood,bm,shabiby wameenda kuweka base huko. Hapa ndo naanza kuona umuhimu wa sgr sasa. Tutegemee kuanza kuona ruti za Tanga- tunduma kwa wingi sana
source?Kundustan sasa mtueleze
Country Defence Budget 2025/2026 (USD)Tanzania 2.08 billionSri Lanka 🇱🇰 ~1.5 billionKenya 🇰🇪 ~1.1 billionUganda 🇺🇬 ~1.2 billionGeorgia 🇬🇪 ~0.49 billionBulgaria 🇧🇬 ~2.0 billion
Kuja Ganjoni, Mombasa utaiona na ingine inanjengwa Shimoni in Kwale, County. Zote zikona processing plants, Kwa hivyo hakuna cha maana unatuambia hapa wewe primary school dropout. Homa Bay and Busia have better fish markets than Dar is a slum na bado ukona audacity ya kuongelea fishing.Ikwapi hiyo port tulioiona? Halafu hapo sio port tu ni whole industrial level fish value chain
Budget ya Kenya 2025/2026 and Budget ya Tanzania 2025/2026.source?
Hii ndio fish port unayoiongelea au mna nyingine? 😂😂😂Kuja Ganjoni, Mombasa utaiona na ingine inanjengwa Shimoni in Kwale, County. Zote zikona processing plants, Kwa hivyo hakuna cha maana unatuambia hapa wewe primary school dropout. Homa Bay and Busia have better fish markets than Dar is a slum na bado ukona audacity ya kuongelea fishing.
Naomba sasa tuanze kuchanganua Bajeti ya Kenya VS bajeti ya Tanzania.source?
Northern circuit imechangamka siku zote kwenye service provision haswa utalii, afya na elimu japokuwa haina migodi, kumbuka utalii na pia uzalishaji wa saruji esp. Tanga ni mzuri na pia mbolea na soon soda ash Arusha! Angalia mapato ya TRA mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara!Inaonekana Tanga kumecharuka , yaan abood,bm,shabiby wameenda kuweka base huko. Hapa ndo naanza kuona umuhimu wa sgr sasa. Tutegemee kuanza kuona ruti za Tanga- tunduma kwa wingi sana
Heheheeeee kumbe hawa wanusa gundi si lolote si chochote kwa Tanzania katika kila sector, nmemuuliza chatGPT ya 2024/2025 pia tuliwaacha mbali 👇👇👇Kundustan sasa mtueleze
Country Defence Budget 2025/2026 (USD)Tanzania 2.08 billionSri Lanka 🇱🇰 ~1.5 billionKenya 🇰🇪 ~1.1 billionUganda 🇺🇬 ~1.2 billionGeorgia 🇬🇪 ~0.49 billionBulgaria 🇧🇬 ~2.0 billion
Tomato 🍅source?
ngoja niwaite!Energy Budget Tanzaia vs Kenya
Teargass NairobiWalker nairobae XKALIBER
Kenya: Ksh 61,098.1 = $473.32 million USD
Tanzania(Wizara ya Nishati): 2,246,745,445,000.00 = $1.28385 billion USD
Source Tanzania
Wakikupea nitagsource?
Hiyo ni ya 2024/2025.Heheheeeee kumbe hawa wanusa gundi si lolote si chochote kwa Tanzania katika kila sector, nmemuuliza chatGPT ya 2024/2025 pia tuliwaacha mbali 👇👇👇
View attachment 3366859
Source:Wakikupea nitag