Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good question.
Walijaribu kupeleka muswada bungeni wafanye wakaja kugundua 90% ni wakenya na wengi wao ni wajaluo na wengine walipatikana wakimbizi kule kakuma, yn mkenya kama anaenda kujiandikisha kama mkimbizi ndani ya nchi yake anashindwaje kuwa ombaomba? Baada ya kugundua ukweli huo wabunge wote wakakaa kmy, wamebaki hawa wanusa gundi wa mitandaoni wakiendelea kuwatukanisha ombaomba ambao ni wakenya wenzao.
 
Hizi picha ni maeneo za Arusha ambazo hazijawahi kuwa exposed humu kwa ukubwa huu. Oky so now get to see how huge Arusha city is. 👇🏾hii angle ni popolar humu 😄.. Arusha ikimaliza ujenzi wa:-

1. Dual carriage ways
2. MKICC
3.Arusha football stadium

Huu mji ni fair comparison na Kigali city Rwanda.
 
Mbona shacks all over the place?
 
Hii Arusha kumbe ni noma namna hii? Mnuka mavi si ataumia hivi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…