Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuonyeshe hizo 5 modern stadiums, I’m sure only one ndio inaweza patikana top 5 in Kenya.
 
Tanzania is LDC and Kenya is not.

I have simplified it for you.
Kama una ubavu nijibu hayo maswali.
Laa sivyo utakua unapiga kelele za bure.
Nchi unayoisemea ni LDC inajitosheleza kwa vyakula,ina huduma bora za kijamii kuliko wewe,ina miundombinu mingi na mizuri ya kijamii kuliko wewe na ina huduma bora za afya kuliko wewe.
Prove me wrong if you have guts.
 
These are just noises to cover for the lack of Stadiums in your country.
 
Tanzania is LDC, Kenya is not.
 
Can you come up with any other credible argument.

Google stuffs are enough
 
Siwezi linganisha takataka za kenya na Tzstadiums hiyo discussion haipo. 🤣🤣🤣… so chill. Ni dharau kubwa sana
So in short hamna stadiums za kulinganisha na za Kenya? Thanks for accepting the truth.
 
UG na nyie ndio level moja sasa. 🤣🤣🤣 sisi tupo zetu Top. And soon UG inawaacha down.
Tofauti na Makwapa na Amani Stadium, what else do you have? Wakati Kenya and Uganda has stadiums with roofs and seats, Tanzanian stadiums people seat on grass na hakuna viti pia.
 
Dandora stadium sindio hii .? 🤣🤣🤣👇🏾nyayo stadium si ndio hii.? 👇🏾ulinzinzi stadium 🤣🤣🤣👇🏾
Kasarani is better than Makwapa, Siaya Stadium is better than Amani. Hiyo bado sijaguza Ulinzi Stadium, Dandora Stadium, Nyayo Stadium etc.
🤣🤣🤣 hizi ni takataka. Tafuta buyu ukune… hivi unajijua kama wewe ni mtambo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…