Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijawahi kuona nchi ina watu wajinga serikalini kama Tanzania. Hii kesi itaenda mbali na kuiletea Tanzania matatizo kwasababu ya hatua za kipuzi. Ilkua ngumu aje kuwarusha kwenye ndege na kuwarudisha nyumbani
Hamna kesi hapo!
Sisi tumeshavunja mikataba kibababe ya makampuni makubwa ya Europeans na Americans. Pia tumesha nationalized companies, viwanda na takataka kibao za hao wazungu mnao wabudu.

Sisi tumehost na kutrain terrorist organizations nyingi kama ANC, SWAPO, ZANU, ZAPU, FRELIMO, PAC zote zikifanya uharibifu mkubwa wa mali za Wazungu miungu yenu.

Nothing happened!
Wanatujua vizuri sana!
 
Can you say that about Suluhu in this forum? 😆😆 We all know you gate her
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…