Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣 Kati ya watu wanapenda kujifia kuishi kwa apartment ni wakenya
Apartments ni kawaida sana, ata Kuna slums ya apartments., kwenu itakua middle class living, tulishangaa kwenu ni sehemu ya matajiri eti🤣🤣🤣., tilikua tunawaonyesha ni kawaida sana..,
Kisumu Iko na apartments mingi za weusi kushinda Tanzania yoote
 
When time comes, and with sufficient power we will, hatutaki kubahatisha kila wakati iwe inazima ovyo ovyo kama yenu., btw has freight started operations?
Mlishindwa project ya lamu coal project ya 1050mw mtaweza zalisha umeme?
Hivi unajua tuna project nyingine ya umeme ya 600mw ?🤣🤣🤣🤣
 
Tajiri haishi mjini wewe wanakaa kwenye visiwa vyao huko 🤣🤣🤣🤣
 
Fala anafikiria Kenya ni subsistence economy ya kuuza vitungu na viazi kama Tanzania 🤣🤣🤣🤣,
 
Fala anafikiria Kenya ni subsistence economy ya kuuza vitungu na viazi kama Tanzania 🤣🤣🤣🤣,
Wakati Tanzania inafikiria kuanzisha project ya reli ya tatu Kenya bado mmestuck
Prime

Tanzania completes initial designs for 1,000-kilometre Mtwara – Mbamba Bay railway line​

Friday, May 09, 2025

By Louis Kolumbia

What you need to know:​

  • Speaking on the railway’s economic significance, the Deputy Minister, David Kihenzile, highlighted the abundant natural resources in the southern regions that the railway will serve, including more than 426 million tonnes of coal and key minerals such as vanadium, titanium and lithium
Dar es Salaam. The government has completed a feasibility study and preliminary design for the proposed 1,000-kilometre railway line from Mtwara to Mbamba Bay, with an additional branch line extending to Liganga and Mchuchuma, the Parliament was informed on Wednesday, May 7.
 
Tajiri haishi mjini wewe wanakaa kwenye visiwa vyao huko 🤣🤣🤣🤣
Matajiri wenu wa Mikocheni wanaishi kwa apartments kama employees 🤣🤣🤣🤣🤣., mko hovyo, ata wageni wanafika Tanzania wanaona tofauti na Kenya.

Kenya sio mwenzenu🤣🤣🤣
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa nyinyi Kenya mnaweza Nini?
FAILED PROJECTS IN KENYA DUE TO FUNDING
Several large-scale projects in Kenya have been marred by failure or controversy, including the Kimwarer and Arror dams, the Galana-Kulalu irrigation project, and the planned coal power plant. These projects have faced challenges related to poor project management, insufficient capacity, and political interference, leading to cost overruns, delays, and ultimately, abandonment or significant setbacks.

Specific Examples:
  • Kimwarer and Arror Dams:
    These projects, intended to provide irrigation and electricity, cost the Kenyan government a significant amount despite never being built.

  • Galana-Kulalu Irrigation Project:
    This large-scale agricultural development scheme, aimed at increasing food production, has been criticized for its limited impact and high costs.

  • Coal Power Plant:
    While envisioned as a key component of Kenya's Vision 2030, construction of this plant was halted due to environmental concerns and legal challenges.
Fala anafikiria Kenya ni subsistence economy ya kuuza vitungu na viazi kama Tanzania 🤣🤣🤣🤣,
 
Matajiri wenu wa Mikocheni wanaishi kwa apartments kama employees 🤣🤣🤣🤣🤣., mko hovyo, ata wageni wanafika Tanzania wanaona tofauti na Kenya.

Kenya sio mwenzenu🤣🤣🤣
View attachment 3331253
Ukienda marekani wanaamini china Iko less developed ila wakitoka huko marekani wakafika china wanachanganyikiwa. Utofauti unaonekana hata kwa idadi ya nguo za mitumba mnazoingiza.
Inaonekana purchasing power ya wakenya Iko kwenye mitumba ya nguo
 
This is the real source. Unaokota okota taarifa to please your ego.

Economic Overview
Tanzania is a lower-middle income country with a per capita GDP of $1,149. The economy is relatively diversified: agriculture accounts for about a quarter of total value addition, industry for a third, and services for the remainder. Agriculture remains the largest source of employment, with two in three Tanzanians working in the sector. Rapid urbanization nevertheless means that 37% of Tanzanians now live in cities. Poverty is estimated at 43% using the International Poverty Line of $2.15 2017 PPP/day (about 2,080 nominal TSH in 2024), with a Human Capital Index of 0.39, roughly in line with the regional average.

 
Mtaandika designs ata ya kumi, ila kukamilisha itawachukua miaka mia moja, uchumi hafifu ata kukopesheka ni tatizo!.., mtatembeza bakuli na kutafuta PPP ila wapi, wawekezaji hawaoni viability yoyote.., uchumi wenyewe hafifu, Pato la taifa kwa mwaka haitoshi ku finance recurrent expenditure kwa budget ya taifa.., boss mko hovyo ni wazi sana, Tanzania bado sana 🤣🤣🤣🤣.,
 
Kwa hivyo hio ndio itawatoa LDC? 🤣🤣🤣
Soma uelewe usidanganyike na status 😂😂😂😂 kuwa ldc sio kigezo kabisa ila Kuna preferential watu wanataka , nyinyi mnafagilia wakati uwezo hata wa kujilisha hamna
Search

China’s developing country status in the WTO: time for an upgrade?​

Published: 21 January 2019Reading Time: 5 minsBack

In Brief​

As the United States and China continue to negotiate to avert a further escalation of trade tensions, the two countries face an extensive list of issues to address — technology transfer, intellectual property protection and market access core among them. One issue that often garners less attention is China’s self-declared status as a ‘developing country’ in the World Trade Organization (WTO).

Share​

XLinkedInFacebookEmailPrint
  • A
  • A
  • A
Under the WTO, developing countries can receive ‘special and differential treatment’, ranging from longer timetables for implementing agreements to weaker market access commitments. But the WTO does not define ‘developed’ or ‘developing’, leaving it to individual members to self-declare their status. According to the WTO, two-thirds of its 164 members — including China — currently consider themselves developing countries.
 
List ni ya UN sio yako. Imagine hakuna kitu unaweza fanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…