NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,278
- 19,616
Mimi nimekaa Dar siku mbili, wewe umekaa Nairobi siku ngapi? 🤣🤣🤣Umeenda Dar siku mbili tayari ushajua morocco square sio mikocheni.? 🤣🤣🤣🤣 wewe ni katika watu wapumbavu humu ndani..
Haya tueleze morocco aquare ipo mtaa gani.? Mzee mzima mpumbavu. 🤣🤣🤣
Sawa Mbilikimo Mkora. Nice evening. 🤣🤣🤣Umeniona mimi ni matako yako eeh.? 🤣🤣🤣
Hapa ulijaribu kuelezea nini.? 🤣🤣🤣🤣🤣 mana umeleta hadi picha za google map. As I told you, kuna malls mbili tu ambazo ni proper in Karen.ambazo ni waterfront na Galleria the rest ni vibanda tu, vipo kibao mikochini.. sio malls. Kubali ukweli vunga.Shida huna maarifa. Hiyo Galleria mall haigusi Waterfront na the Hub. These are proper malls with amenities such as Go-Karting, water parks et all. Hamna mall hapo Mikocheni inafikia hizi mbili. Hayo yenu ni supermarkets ndani ya apartments. Labda hiyo upcoming Dar Village ndio itajaribu ikikamilika ila bado haitagusa.
View attachment 3328733View attachment 3328734
Kukaa Dar siku mbli ni kama tu hujafika popote. 🤣🤣🤣 si umeona unatuelezea vitu ambavyo huvijui.?Mimi nimekaa Dar siku mbili, wewe umekaa Nairobi siku ngapi? 🤣🤣🤣
alaf 65% inamilikiwa na wazungu wa nje ya ukunduni😂😂😂
Umeulizwa swali. Wee umekaa Nairobi siku ngapi?Kukaa Dar siku mbli ni kama tu hujafika popote. 🤣🤣🤣 si umeona unatuelezea vitu ambavyo huvijui.?
Kwani wewe mimi unanitaka.? Heb njoo inbox ntakufikiria.Umeulizwa swali. Wee umekaa Nairobi siku ngapi?
I date 6 ft and above Mr. Mbilikimo.Kwani wewe mimi unanitaka.? Heb njoo inbox ntakufikiria.
Let’s use Westlands as an exampleCan you please shouwus 3 mall in one area in kunyalander.? Usituletee tu viduka vya kuuza sumu uka claim ni mall. I am waiting.
🤣🤣😂😂Unavaa kiatu number ngapi? Tuoneshe kwa picha. 🤣 🤣
‘Bando’ enyewe lazima anunuliwe ndio akuje hapa. Wi-Fi ni shida kupata Tanzania na Ukipata speed ni ya konokono.Mlishaambiwa huku hatutumii 'bando'. Huku kila mtu ana WiFi kwa nyumba.
Wew kweli mjuaji aisee. Haya bwanaHata hiyo Morocco Square haipo Mikocheni. Ipo mahali panaitwa regent estate. The only real mall hapo ni hiyo render upcoming. Hizo zengine ni supermarkets. Ni kama mtu apost GTC aseme ni bigger mall than the Hub kisa kuna mall kwa floors za chini.
Ndugu yako mbilikimo anaita the Hub kibanda ila mimi ndiye mjuaji? Enyewe nyinyi watu mko determined kushinda argument instead of ukweli.Wew kweli mjuaji aisee. Haya bwana
Umesema Morocco square haiko mikocheni? Unajua kata ya mikocheni, boundary zake?Ndugu yako mbilikimo anaita the Hub kibanda ila mimi ndiye mjuaji? Enyewe nyinyi watu mko determined kushinda argument instead of ukweli.
Hawa jamaa walikuwaga wanaishia kwenye 174 naona washazizoea 🤣🤣🤣🤣, wakati zile za kundustan kufikia 100 siku hizi ni nadraOnly Electric SGR in East Africa. Hii ni sasa hivi. View attachment 3328813