Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣 🤣 Yet most part of dar is a slum is unplanned hata heri Kinshasha.

Hili Tatizo halikuwepo miaka ya early 80's kurudi nyuma., lilianza kipindi tulipokubali sera za IMF, viwanda vikafa watu wengi walikosa kazi, including waliokuwa kwenye sekta ya kilimo cha mazao ya biashara.

Watu wakaanza kuja Dar na serikali haikulisimamia tatizo hilo mpaka lilipofikia sasa.

Ila siyo Tz yote, Dodoma kwa.mfano walizuia ujenzi holela, hata mifugo kufugwa hovyo ilizuiwa kwa sera za HADO (hifadhi ardhi Dodoma).
 
Indeed Dom na kwetu Tanga are the only cities in Tz zenye zimepangwa vyema maeneo ya makazi ya watu.
 
Kila kukicha nampinga Samia humu na twitter. Sijawahi kuwa CCM.
Nyie ni watu wa kelele tu. Nchi ina njaa na taifa linakimbizana na changamoto za jiggers.
Kwanini eleimu yenu bora isiweke hizi changamoto sawa?
Umeshonesha chupi yako safi ya CCM. Unajitetea nini sasa. 🤣 🤣
 
3 malls in one area ni jambo jipya huko bongoslum. 🤣 🤣 🤣 Alaaaa

Karen
1. Waterfront
2. The Hub
3. Crossroads
4. The Well
5. Galleria
6. My Town
Futa hii useme ukweli kabla sijakuanika. 🤣🤣🤣🤣 hizi ni malls au ni vibanda za duka.? Futa hii list mwenyewe mwehu wewe.
Nilikuonyq tangu mwanza usije ukaleta vibanda ukasema ati malls. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…