Mbona nyuma ya State house yenu kuna ile lovely river na slum. Kwani tumeongea chochote sembuse soko la samaki?Soko ya samaki ni jirani ya ikulu. 🤣🤣. Basi that's the most unplanned CBD on earth, no wonder hakuna mtu anajua boundaries ya hio CBD. Kila mtu akona demarcations zake hata Google maps haijui.
Hata chuoni huko jehanamu hawasomi hivyo vitu.
Kuna mkenya mmoja alikuwa anachukua classess flani college, nikamwambia sisi hivi vitu tulisoma sekondari, tena chuoni, walinipa credits 28, kama transfer kutoka baraza. Akawa mdomo wazi.Hata chuoni huko jehanamu hawasomi hivyo vitu.
I dare you uingie Kwa Google maps unionyeshe hio slum nyuma ya statehouse. Unaokota propaganda online unadhani ni ukweli. Piga screenshot ya hio slum nyuma ya Statehouse sahii kila mtu aone.Mbona nyuma ya State house yenu kuna ile lovely river na slum. Kwani tumeongea chochote sembuse soko la samaki?
Yes ama unadhani umepost kitu cha maana sana. 🤣🤣
Nikama hamjui CBD yenu inaanzia wapi na inaishia wapi ju wengine wanakubali ziko CBD wewe unapinga. Hamjielewi. 🤣😂🤣resisdencies za ambassadors haziko CBD.
Mnasoma Simpson rule sekondari nyinyi? Sisi wengine chain rule tulisoma form 3 kwenye additional math.Yes ama unadhani umepost kitu cha maana sana. 🤣🤣
Does it matter if tunasoma or not? Calculus is very broad na inafunzwa highschool and that's what matters. Ama unataka we prepare curriculum kama yenu? Haiendangi hivyo. 😂😂Mnasoma Simpson rule sekondari nyinyi? Sisi wengine chain rule tulisoma form 3 kwenye additional math.
Mnafunzwa high school wapi, weka past papers hapa tuone.Does it matter if tunasoma or not? Calculus ais very broad na inafunzwa highschool and that's what matters.
Kwa hivyo your education system is the best ju mnafunzwa Simpson rule? 🤣🤣 Kama una reason hivi it clearly shows hata mfunzwe rocket science in primary school doesn't make your system better.Mnafunzwa high school wapi, weka past papers hapa tuone.
Ile Elimu ya Moi! Aisee 😂😂!Mnafunzwa high school wapi, weka past papers hapa tuone.
Acha ushamba wewe. Hizo ni numerical methods, siyo Simpson rule tuu bali tunasoma trapezoidal method, Newton-Raphson method, linear interpolation and extrapolation.Kwa hivyo your education system is the best ju mnafunzwa Simpson rule? 🤣🤣 Kama una reason hivi it clearly shows hata mfunzwe rocket science in primary school doesn't make your system better.
Unaona bongoslum hapa?Acha ushamba wewe. Hizo ni numerical methods, siyo Simpson rule tuu bali tunasoma trapezoidal method, Newton-Raphson, method, linear interpolation and linear extrapolation.
Hizi mathematical skills ni muhimu katika science na engineering katika kutafuta solutions za complex problems. Ndiyo maana madaraja yenu na maghorofa yana collapse hovyo, hamna msingi mzuri wa elimu.
Graphics ndio mkombozi wenu ila ground always inawakataaUnaona bongoslum hapa?
By the way hapa nchi zote zikona a higher GDP per Capita than bongoslum.
View attachment 3327670
Hii groundGraphics ndio mkombozi wenu ila ground always inawakataa
Huko bongoslum usipofika form 6 your very useless. 😂😂😂 Ndio maana unajaribu kututisha hapa na advanced mathematics za form 6.Acha ushamba wewe. Hizo ni numerical methods, siyo Simpson rule tuu bali tunasoma trapezoidal method, Newton-Raphson, method, linear interpolation and extrapolation.
Hizi mathematical skills ni muhimu katika science na engineering katika kutafuta solutions za complex problems, pale ambapo exact solutions are impractical. Ndiyo maana madaraja na maghorofa yenu yana collapse hovyo, hamna msingi mzuri wa elimu.