Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka tena nikupe somo kuhusu utofauti wa metropolitan area na city? Sina huo muda. Ni somo nimepeana huku mara nyingi sana walio na akili washaajua. Lakini nitakutolea mfano.
Hapa ni list ya largest cities in Europe.



Hapa napo ni list ya largest urban centers in Europe



Ukiangalia kwa list ya kwanza, jiji la Paris ni number 9. Ukiangalia kwa list ya pili, jiji la Paris ni number 1. Nenda kafanye utafiti utaelewa kwa nini nakwambia Nairobi ni kubwa kuliko Dar.
 
Wikipedia 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nairobi metro is bigger than Dar metro by at least 1M people.
Leo ngoja nikutolee uvivu maana umeshajifirahisha vya kutosha. 🤣🤣🤣 hakuna ka kijiji chochote cha kukaribiana na ukubwa wa DSM. Mipaka ya Dar city pekeee ni 3 times larger than that of Naipori.

Haya njoo na facts ****** wa mbwa wewe.
 
Nimeishia hapo uliposema Kariakoo has modern building than Posta. Pamoja na kuhamisha ofisi nyingi za serikali Dodoma Bado posta ina hadhi yake. Mkuu ulitembelea posta gan mzee. Nyinyi ndo mnakuja dar na kuishia old dar kama kisutu, kaburi moja nk na kuconclude Dar CBD.



I agree with samora avenue, Ohio street na some roads kuwa too old na BRT road kuchukua long time kuisha. But their finishing is not bad angalia Airport road, am sure hujaiona, kilwa road. south Kawawa road nk. They have proper horizontal infrastructure na Bagamoyo road will also look like that.

Mengine umetia chumvi sana kama vile unatoka Joburg, Capetown nk. Kumbe Nairobi hii inayojichokea
 
Picha linaanza kaja na gari la machungwa 🤣🤣🤣 si unaona anasema kapita bagamoyo.? Huyo katokea nothern regions to DSM.

Mitaa alizopost bertin alisema eti ni may be 3 metters or less. 🤣🤣 yani hajafika kabisa posta mpya to Ferry, and I am pretty sure hata ocean drive hajakanyaga. Kwasababu niliona ameandika eti barabara nzuri bongo ni sokoine drive ..

Niliona pia aliandika alikua alipanda daladala while she is in Dar. Seems alifikizia uswahilini kwasababu ndio destinations za daladala nyingi mjini.
 
Is that Dar CBD? Posta? Mimi naona kata ya kisutu iliyojaa wahindi na majumba yao.
Nilisema nyinyi ndo mnakuja dar na kuishia Old Dar na kuconclude Dar CBD.

Comeback and explore posta. This is posta I know


 
Is that Dar CBD? Posta? Mimi naona kata ya kisutu iliyojaa wahindi na majumba yao.
Nilisema nyinyi ndo mnakuja dar na kuishia Old Dar na kuconclude Dar CBD.

Comeback and explore posta. This is posta I


View attachment 3327035
 
Is that Dar CBD? Posta? Mimi naona kata ya kisutu iliyojaa wahindi na majumba yao.
Nilisema nyinyi ndo mnakuja dar na kuishia Old Dar na kuconclude Dar CBD.

Comeback and explore posta. This is posta I know


View attachment 3327035
Nilivyopost hii picha juzi, kuna fala mmoja wa kunyarenda alisema eti ni goverment square. 🤣🤣🤣 uzuri wote wa posta tunaojidai nao uko huku.
 
Is that Dar CBD? Posta? Mimi naona kata ya kisutu iliyojaa wahindi na majumba yao.
Nilisema nyinyi ndo mnakuja dar na kuishia Old Dar na kuconclude Dar CBD.

Comeback and explore posta. This is posta I


View attachment 3327035
 
I actually did mention the nice parts of your CBD that you speak of - but those places constitute just 20% of the CBD. The Kisutu area you are denouncing occupies 80% of your CBD and it is beaten up. So you want the small 20% that is nice to be representative of your CBD while the remaining 80% shouldn't? Interestingly, when you want to chow us how big your CBD is you will include the 80% fully and even extend beyond it? Ndio maana nikasema CBD ya Dar haigusi ya Nairobi hata kidogo maanake I'm comparing the whole CBDs in full, sichagui visehemu visehemu.

Kama kuna chumvi nimetia iseme. Usiseme tu mengine nimetia chumvi yaseme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…