concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Kuna slums zaid ya 200 Nairobi , hapo ni dandora na korogocho na sababu umeleta nyumba ambayo Iko kwenye unplanned settlement NAMI nimekuletea ya kutoka kwenye slums. Ukitaka twende za kwenye middle income earners ambazo mpak🤣🤣🤣🤣a sasa hujaleta hata mojaKama kawaida battle ni Kibera vs Dar is a slum. Nairobi Metro hamuwezani nayo.
Formal employment in easy way unaangalia how wealthy social security funds zilivo, mna social security fund ipi ya maana Kunyaland kwanza mnajua hata nini ni social security fund? 😁😁😁Kenya hatuhesabu informal employment kama employment, hio ni yenu nyinyi wa informal economy. The fact that we have a bigger tax base confirms nchi gani ikona watu wengi kwa formal employment.
Nionyeshe mahali imeandikwa jobs in informal sector zinahesabiwa Kwa unemployment stats?Hamhesabu informal sector??
Wakati infromal sector mnaweka mpaka kwenye GDP yenu ya kitapeli.
mna bigger tax base ila hata kujenga ndogo mpaka mkope au PPP na mikopo mna default.
Hio tax base kubwa inawasaidia nini
View attachment 3326978View attachment 3326979
Haha ndo maana umeambiwa nyinyi ni washamba huwez jua maana ya emergency na ukiambiwa nje sio kwamba Iko nje ya fence🤣🤣🤣🤣Hii ndio ushamba munaambiwa muwache, sio lazima cloakroom ikue nje, lakini sasa ona vile una fikira za kishamba na kimaskini.
SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.Haha ndo maana umeambiwa nyinyi ni washamba huwez jua maana ya emergency na ukiambiwa nje sio kwamba Iko nje ya fence🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo wafanyakazi wanaoishi nje ya main houses usiku inabid waje wawagongee wakitaka kunya🤣🤣🤣🤣
Hayaa ushamba ni wako wewe ambaye umeaminishwa self contained houses haitakiwa kuwa na choo ya pembeni.SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.
Hakuna sehemu kasema jobs ni informal sector acha kupindishaNionyeshe mahali imeandikwa jobs in informal sector zinahesabiwa Kwa unemployment stats?
Wanapenda kuiga sana
Dah
Mwenzako juzi kaja hapa anajitapia kuwa kanunua bia kwa supermarket kwa 2800 Tena Serengeti lite akiwa anajiona mjanja , wabongo tukawa tunamcheka tu na ushamba wake maana alikutana na dada wa kichaga akawa anampurusa tu.SQ hua self contained, Sasa ona vile una expose ushamba wako.
GDP kubwa hapo bado anashindwa kulipa mishaharaDah
Wazee wa GDP kubwa😂😂😂
Ghorofa imejengwa miaka 1980 unataka iwe mpya 🤣🤣🤣🤣🤣
Utahangaika sana kutafuta picha za nyumba mbovu bongo za kutaka kufananisha na maslum yenu huwez pata , huko sisi tushapita
Humo wanakaa Wahindi ,wamepanga hawataki kutoka nyumba zifanyiwe renovation.
Hayo maeneo ni reserved na yamejengwa toka miaka 1970 unataka tuyabomoe ili iweje sasa.
Nani amesema mubomoe?Hayo maeneo ni reserved na yamejengwa toka miaka 1970 unataka tuyabomoe ili iweje sasa.
Sisi hatukurupuki kama nyinyi