Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uongo aje, kuja Kenya uone wabongo wenzako ambao wanasomea huku, especially kwa high schools.
Kwahiyo hakuna wakenya wanaosoma bongo ****** wewe.? 🤣🤣🤣 incase you don’t wanaotakaga watoto wajue kiingereza ndio huwaleta huko. And guezs what wanaofanya makubwa wote haoa Tz ni local products, non of them mnaweza shindanisha na upuuzi mnaozalisha huko kwenu
 

Sio wengi kama bongolalas ambao wamekuja kusomea Kenya.
Wewe si umesema hakuna.? Haya pitia tena hilo andiko langu.
 
Nyie kenya na vitu standards wapi na wapi.? Mbona unaji confuse.? 🤣🤣🤣
Sasa nyinyi ambao munaita nyumba self contained eti ni Master munajua nini kuhusu standards. Sasa Ile siku mtajua ensuite si watu watakua wameenda Kwa dunia ingine. 🤣🤣 Washamba with low standards nyinyi, hata dawa si hua munaprefer za Kenya expensive kwasababu ni better than hizo zenu low standards.
 
Yani kumbe unatutajia tofauti ya maneno ya kiingereza kwako ndio standards aaah Juha kweli wewe 🤣🤣🤣🤣. Wew punga kabisa.
 
Ni dawa ipi tunayo prefer ya kenya.? 🤣🤣🤣🤣🤣 kwanza Tangu nizaliwe ni panadol pekee ndio dawa nimewahi kuona kutoka kenya. Wakati najitafuta tafuta nimewahi kufanya marketing na kijikampuni cha Sales cha Kenya, soko lake lilikua linasua sua mpaka ni kwere aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…