joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huyo mwaswat ananichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu anajiona majanjaIf your country men wanajjita wtz kama akina mwaswast,Y platinumz not proud of his great country?
Kwa upande wa Kenya huyo ndiye genius mjanja wao..hivi unadhani kwanini njaa, slums na umasikini vinaongezeka pamoja na uchumi mkubwa lakini wanashindwa na Burundi hawahitaji msaada wa chakula?..vichwa ndiyo hivyo[emoji23] [emoji23]Huyo mwaswat ananichekesha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] halafu anajiona majanja
cheap events.LDC NI LDC.
And when "Mond" goes to perform in kenya is paid twice a lot than UHURUTOna ndio maana wanazunguka kutengeneza pesa kokote ulimwenguni na kuzileta nyumbani tanzania 😀😀
wasanii wengi tanzania wanamiliki majumba kibao za adabu na magari ya heshima, wana studio zao na biashara zao, eat that
Dogo tuliacheap events.LDC NI LDC.
ndio stadium ijae...sasa FRW500 ndio nini...
OK cheap,weka link ya msanii kutoka kenya aliewahi kua na kiingilio cha Tsh.60,000 per head.cheap events.LDC NI LDC.
ndio stadium ijae...sasa FRW500 ndio nini...
Rees Odhiambo: Kenyan professional player in the American Football league (NFL) for Seattle Seahawks
we unafkiri wataingia watu wangap???😀😀😀cheap events.LDC NI LDC.
ndio stadium ijae...sasa FRW500 ndio nini...
NAIROBI-KENYAhttps://www.tuko.co.ke/261651-myste...ents-mathare-slum-homeless-christmas-day.html
Ndugu zangu na majirani zangu ninaomba mnifafanulie hili jambo, Mathare ni capital city ya nchi gani hapa EA?
Na haturingi.
Edi Gathegi- Kenyan Hollywood Movie Star
Godfather productions ..wasafi is making them rich ..almost 3/4 of the songs are through God fatherProducers??? Are you kidding me[emoji23].. Diamond ana Main producer mmoja tu Laizer .. Beat inapikwa Tz, kideo ndo anabadilisha mandhari.. Tz kashafanya video nyingiiii sanaaa tangu anaanza mziki, na bado baadhi ya video ana shoot Bongo, na nyingine ana mix.. Mfano Je utanipenda? Kuwa msanii ni kua creative kuleta ladha mpya.. Sasa Kenyan artist wanashoot kibera tu unafkiri nani atawatambua
Nyimbo asilimia 80 za diamond zinatengezwa na WCB nyimbo za alikiba zinatengenezwa na rockstar tanzaniaGodfather productions ..wasafi is making them rich ..almost 3/4 of the songs are through God father
Bombardier mta- ikomboa lini? SGR mta- imaliza lini? U-LDC mta- utoka lini? U- middle income mta-uingia lini?BRT tusha....Bomberdier 2..tusha...Njaa tusha...insecurity tusha....ukabila tusha....rushwa tusha..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tutafanya hayo yote tukishaishinda njaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bombardier mta- ikomboa lini? SGR mta- imaliza lini? U-LDC mta- utoka lini? U- middle income mta-uingia lini?
Yule ni video director na kama unafuatilia unaona Diamond anaenda na crew yake nzima ikiwemo wapiga picha(kifesi) na video directors wake ili kushare ujuzi.. Ukiachana na iyo ni hela ngapi Diamond anaaiingizia nchi[emoji23][emoji23] Ameifanya Tanzania iwe famous nje ya mipaka yake..Godfather productions ..wasafi is making them rich ..almost 3/4 of the songs are through God father