Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,148
- 33,027
Umeshinda JF siku nzima halafu unasema umetumia more than 15,000, hata mtoto mdogo anauona uongo wako😁Sasa pombe ya 1,000 ndio unaniringia hapa? For me today I have spent more than 15,000 and I’m just silent, wewe umetumia 1,000 kwa pombe hatupumziki.
Mwanakwerekwe market ni kali kuliko hizi upuuzi anazoziita mall. 🤣🤣🤣umeona uongeze na render kabisa ili kutia uzito hvi ww unajua maana ya mall??😂😂
🤐😆Umeshinda JF siku nzima halafu unasema umetumia more than 15,000 huoni uongo wako?😁
kukodi tu uwanja wa azam complex kwa mechi moja ni 6m😂Ebu tuonyeshe gate collection yao. Ikifika hata Ksh100,000 njoo tuongee.
siku mutafika level hii mm ntafunga acc forever hata mupewe miaka 100 hamutafika labda kwenye ndotoEbu tuonyeshe gate collection yao. Ikifika hata Ksh100,000 njoo tuongee.
Hii hata ishakua mzee na hamjawai jenga mall ingine ju hakuna demand. 🤣 🤣nairobae. Jifunze Rock city mall .. View attachment 3324832View attachment 3324833View attachment 3324836View attachment 3324837mall kama hii huwezi pata kwenye kijiji chochote huko kwenu. Labda kama mnazo ndoto.
Ok, let me increase it. Jana na Leo I used 42,433Umeshinda JF siku nzima halafu unasema umetumia more than 15,000, hata mtoto mdogo anauona uongo wako😁
Leta gate collection, mambo mingi hatutaki hapa.kukodi tu uwanja wa azam complex kwa mechi moja ni 6m😂
na bado mashabiki wana jaa over 10k alaf unakuja kuongea habari ya 100k
Mbona unatuonyesha maduka random claiming them malls.? 🤣🤣🤣🤣Hii hata ishakua mzee na hamjawai jenga mall ingine ju hakuna demand. 🤣 🤣
Hii Goldenlife mall in Nakuru is better and modern than all malls in bongoslum.
Sasa unaficha nini? Yaani inaonyesha kabisa wewe nyang'au ni muongo wa kutupwa😁Ok, let me increase it. Jana na Leo I used 42,433
35,388 spend through M-Pesa between Jana na Leo.
View attachment 3324855
7,045 Spent today through bank.
View attachment 3324859
Just say that you want to see my name. I have only hidden my phone number, name and name and transaction codes of those I paid between yesterday and today.Sasa unaficha nini? Yaani inaonyesha kabisa wewe nyang'au ni muongo wa kutupwa😁
Umia pole pole. 🤣 🤣Mbona unatuonyesha maduka random claiming them malls.? 🤣🤣🤣🤣
Au wewe una macho mabovu.? 🤣🤣🤣 sasa kama hii takataka unasema ni modern then hii hapa tuite nini.? 👇🏾Umia pole pole. 🤣 🤣
Kwa uongo tu nimekuvulia kofia ha ha ha😁😁Just say that you want to see my name. I have only hidden my phone number, name and name and transaction codes of those I paid between yesterday and today.
Wewe endelea kuamini nadanganya wakati I keep on spending money while you recite alphabetical letters with school kids.
Ukiwa maskini unataka kunilazimisha nikuwe maskini Kama wewe pia?Kwa uongo tu nimekuvulia kofia ha ha ha😁😁
Ukiwa masikini unakuwa muongo kama wewe😁😁Ukiwa maskini unataka kunilazimisha nikuwe maskini Kama wewe pia?
Sawa mwalimu wa chekechea.Ukiwa masikini unakuwa muongo kama wewe😁😁
Kama hio ni modern ju ya hizo rainbow basi hii ni futuristic.Au wewe una macho mabovu.? 🤣🤣🤣 sasa kama hii takataka unasema ni modern then hii hapa tuite nini.? 👇🏾View attachment 3324865View attachment 3324866
Hiki nacho nini.? 🤣🤣🤣. Hii inakaa market za vitunguu huku bongoKama hio ni modern ju ya hizo rainbow basi hii ni futuristic.