President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,669
- 94,322
Kundudweller katika ubora wakeI tried a dala dala in Dar😂
View attachment 3322834
A hotel for foreigners
Ona vile kiingereza cha huyu mwamba kisivyo na maana 🤣🤣🤣🤣 anataka gari la 25 million kwa 15 million, wazee wakamdharau, sasa kiingereza chake kimemsaidia nini na pesa hana. 👇🏾.Hao mazuzu wamefika Kenya, wewe hata Namanga hujafika. Endelea kuamini propaganda za CCM.
Show me the foreigners?A hotel for foreigners
Unafosi kunifananisha na nyani.? Haya jione wewe 🤣🤣🤣🤣👇🏾View attachment 3322612
Hii inanihusu aje?Ona vile kiingereza cha huyu mwamba kisivyo na maana 🤣🤣🤣🤣 anataka gari la 25 million kwa 15 million, wazee wakamdharau, sasa kiingereza chake kimemsaidia nini na pesa hana. 👇🏾.
View: https://www.instagram.com/reel/DIBGWE6qzUz/?igsh=cG1kOThqcThkNzg2.
New cafe in town?
😅 😅 😅 😅 😅 Huu uwanja utakuja kuwaangukia mfe, nguzo gani zile
Show me the foreigners, si ulisema ni ya foreigners.New cafe in town?
Alafu utapata kunguni moja anakuja kuchekelea hii😂😂🤣I tried a dala dala in Dar😂
View attachment 3322834
Anyways, Kenya kwa migahawa Westernised mko vizuri.Show me the foreigners, si ulisema ni ya foreigners.
Hii ni nini, ndio Nganya mnaita?
Tena sio ya foreigners? Yani mlidanganywa kuhusu Kenya mkaingia tu box without even doing research😂😂New cafe in town?
Hata Expressway pia mlisema itaanguka, mbona bado haijanguka?😅 😅 😅 😅 😅 Huu uwanja utakuja kuwaangukia mfe, nguzo gani zile
It’s far better than those dalala NairobiWalker amepost.Hii ni nini, ndio Nganya mnaita?
This is perfect timing umekuja mwenyew mpanda matatu. 🤣🤣👇🏾
Sasa kwa trip towns, mtu anatoka kazini anenda kwake.It’s far better than those dalala NairobiWalker amepost.