Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jikoni na choo nje. Maisha halisi ya Dar is a slum. 🀣🀣🀣


View: https://x.com/bajabiri/status/1631903636568653825?t=kdd3rgnVooh4K_KPxD5J_g&s=19

Jikoni na choo nje. Maisha halisi ya Dar is a slum. 🀣🀣🀣


View: https://x.com/bajabiri/status/1631903636568653825?t=kdd3rgnVooh4K_KPxD5J_g&s=19
Haya maisha unapost ndio yale ya uswazi tunayozungumzia. 🀣🀣🀣 pitia huu ukurasa ujifunze maisha ya kawaida ya watanzania, na vitu vyote unavyodhania wewe ni utajiri kwasababu ya umaskini wako utaviona humu. πŸ‘‡πŸΎ. Login β€’ Instagram. 🀣🀣🀣
 
Hizi ni propaganda za kunyani government ili isiwajibike na matatizo ya wananchi wao Kwa kisingizio ni foreigners ni swala la muda tu hata wewe siku ukipata matitizo yatakayohitaji msaada ya government yako watasema wewe ni msudani
 
Sasa hizo uswazi si ndio 80% ya Dar.
According to you right.? 🀣🀣🀣

Skiliza mdogo wangu DSM kwenye baadhi ya maeneo haijajengwa kwa kutenga aina ya makazi ya watu. Ndani ya hizo uswazi zipo nyumba za kishua ambazo wewe unaishia kuona kwenye TV 🀣🀣🀣
 
Choo na jikoni nje ndio wengi wenu munajua. Hamjui modern living. 🀣🀣
 
Kijamaa kimeendelea kuleta upumbavu wake 🀣🀣🀣 haya pitia account nyingine hii. Zote hizi zinapangisha watu ndani ya goba tu. πŸ‘‡πŸΎ. Login β€’ Instagram.
Jikoni na choo nje ndio wengi wenu mumezoea. πŸ˜„ Hapo Kwa amenities hata internet bado sio selling point huko dar is a slum. Rent nayo ni 6 months. Alafu hii Sasa ndio 1 bedroom ya kishamba huko dar is a slum. 🀣🀣🀣

 
Unajua maana ya kujenga city from scratch au unaropokwa tu? Inajengwa with all amenities of a city, nyinyi tunajua huko kwenu hua mnatumia population ku award cities, that's why Mbeya ni City yet it's a village. Hatuwezi fanana.
Come learn from Magufuli City. Achana na ngoma ya kitoto Konza
 
Wewe utapost hizi nyumba moja moja kutetea point yako ila mimi titapost account nzima yenye post ya nyumba zaidi ya 1000. 🀣🀣 sasa hujioni kama wewe ni mpumbavu.? Nakuonyesha hizi ni nyumba hupangishwa na watu wa kawaida kabisaa, ambapo weww kutokana na umaskini wako unaona ni utajiri. Account ya nne hii. πŸ‘‡πŸΎ. Login β€’ Instagram.
 
Dar is a slum tunajua. 80%uswazi. Hawa wote hawajui modern living.

 
Unafananisha hiyo na kibanda cha bati huko kwenu?
 
Come learn from Magufuli City. Achana na ngoma ya kitoto Konza
Does Magufuli City have a pneumatic waste collection system? Haina, na ndio maana mlikuja Konza kujifunza and not the other way round.
 
Kwani Dar yote ni hii.? 🀣🀣🀣 Dar is 3 times larger to Naipori. 🀣🀣🀣. Nairobi is only the size of kinondoni district. 🀣🀣
Kwa hio picha hata huoni mwisho ya hio slum. Majority munaishi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…