Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This not about Nsehe … open your eyes and read between the lines .
 
Tukisema hatununui kutoka kwenu si ni nyinyi mtakufa maskini. Ndio maana nakuambia we are a giant economy.
Wewe ni mzimu kweli wewe.. ulishawahi skia wapi mzalisha chakula akafa njaa kwasababu hakukiuza.? 🤣🤣🤣 Wewe ndio utakufa njaa kwa kukosa chakula. Sisi kwasasa ni baba enu kwasababu Ndio tunaowalisha na kuwavisha.
 
Hizi taarifa zinamuuma sana bwana mdogo wa govi. 🤣🤣🤣🤣 hiyo skyline ya Upanga inakua ya moto tu sahii.
 
Wewe ni mzimu kweli wewe.. ulishawahi skia wapi mzalisha chakula akafa njaa kwasababu hakukiuza.? 🤣🤣🤣 Wewe ndio utakufa njaa kwa kukosa chakula. Sisi kwasasa ni baba enu kwasababu Ndio tunaowalisha na kuwavisha.
It's business it's not a favor na sisi ndio tukona pesa, tunaweza amua kununua kwingine na ni nyinyi mtakufa maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…