Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakijibu hii nitag, yn wao mpaka leo bado wanasherehekea kujenga maghorofa, kitu ambacho hata Somalia wanafanya. Sisi tunafurahia kujenga miradi mikubwa mikubwa alafu bado wanadhani three yrs tutaendelea kukaa meza moja.
 
Nakumbuka hiyo speech ya Magu was the best speech ever.
 
Watu mnakumbuka kenyans wanadiss treni ya Tanzania kuwa walemavu na wagonjwa hawajazingatiwa kisa treni ina ngazi? Za kwao ziko parallel na sehemu ya kupandia.

Hakíka. Maneno 100 ya mkenya chukua moja. Kwa nini kenyans mnapenda faking maisha. Ndo maana baadhi wakiwa YouTube huko wanasifia kila kitu cha Tanzania wakitembelea Tz. Ila wakiwa mitandaoni wanajifanya matawi.
They know the truth who is better in this region. Ndo maana sibishani sana nao maana naifahamu kenya vzr tu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…