Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

peace brother... najua mwisho kabisa sote tunapendana na tunaombeana mema.

asante
 
Sindano imekuingia umeanza kutoa povu, hiyo ni dalili ya kukubaliana na Wakenya.
Unaujinga eehh sasa mond atamzalisha nani hapo kenya ka davido tu alikuja mkampa kademu ka nairob dairies kanasuraa nguuumuuuuu hahahahahaa viqueen slay ushuziii
 
Unaumwa eeehhh hata jina skajui bt taariifa nlosoma ilieleza hivyo
sasa naumwa na nini. mbona usichukue time yako kabla ya kujibu mtu? akibinywa au asibinywe io ni shauri yake na maisha yake. I hope she represented Kenya well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…