Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

My arguments are based on facts. a picture speaks a thousand words.
Yaani wewe unaonekana kwenye picha kutoka ukiwa mtoto umekosa chakula bora.
Sawa bonzo, furahia sasa
Leo umeenda arusi gani?
 
what does that have to do with quoting me ama unafikiria ni mimi nimesema hivo 😂😂😂😂 nyinyi wote mnafaa kufungwa ni kama mlihepa rehab 😂😂😂
Wewe bado mko nyuma sana uwe wewe awe na nani ila umesapoti
 
Post ripot hapa tuone hiyo copy and paste mfano sisi tuna evidence ni kwa namna gani serikali yenu inacopy na kupaste vitu vya Tanzania ebu msikilize bajeti master wenu

View: https://vm.tiktok.com/ZMBnUCsaC/
 
Kweli ni ****** wewe jitu zima jinga. 🤣🤣🤣 haya ngoja nikuzibeni mdomo na muachane na huo ufala wenu kuanzia leo. BRT Dar es Salaam ilikua proposed in 2003 during BW Mkapa era. 👇🏾hichi kichaka leo nimekifyeka. 🤣🤣🤣🤣
 
Haha wasamehe buana elimu yao buana ni kumeza kiingereza mwambie tu mkapa ameondoka madarakani 2004
 
You are flying in your own fat ..🤣🤣… exactly just as you stated . Proposed in 2003 after Nairobi initiated BRT feasibility studies in 2002 following proposals in the late 90s. You get the picture now ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…