Hiyo ndege ilikodiwa kutoka Kenya.Hivi unajua ndege ikiwa leased kama ikija Ukunyani inapaswa kubadili namba kuwa ya nchi husika? Na pia kuna aina ngapi za lease? Hiyo ndege si ya Skyward express ndio maana hata livery yake ni Martinair Holland!
Hawa wachawi wanajaribu kujiweka level yenye hawawezani nayo. To make the matters worse, ni warabu ndio wanatupigia nao kelele. Hakuna real mtanzania hata mmoja mwenye Ana uwezo wa kuwekeza Kenya.Bro. I haven't commented on this forum in like 5 years.. you made my day.
We have been comparing ourselves with simpletons. Damn
O
Uki lease kitu it belongs to you hadi leasehold iishe. I thought that's common knowledge. Upende usipende Skyward wametengeneza pesa from msanii wenu. 😄Hivi unajua ndege ikiwa leased kama ikija Ukunyani inapaswa kubadili namba kuwa ya nchi husika? Na pia kuna aina ngapi za lease? Hiyo ndege si ya Skyward express ndio maana hata livery yake ni Martinair Holland!
Kwahiyo livery ilibadilika over the night? Ikawa martinair?Uki lease kitu it belongs to you hadi leasehold iishe. I thought that's common knowledge. Upende usipende Skyward wametengeneza pesa from msanii wenu. 😄
Tell him. Inaonekana anaumia sana. 🤣Hiyo ndege ilikodiwa kutoka Kenya.
Still the status does not change leased from the owner Martinair!Uki lease kitu it belongs to you hadi leasehold iishe. I thought that's common knowledge. Upende usipende Skyward wametengeneza pesa from msanii wenu. 😄
Wewe mzee huko Nyuma Huoni registration number 5Y?Kwahiyo livery ilibadilika over the night? Ikawa martinair?
Mbona Diamond hakuenda huko Martinair kukodi ndege? Mbona yeye alikuja tu Kenya?Still the status does not change leased from the owner Martinair!
Pesa ililipwa Kwa Skyward, kubali yaishe.Kwahiyo livery ilibadilika over the night? Ikawa martinair?
Huyu mzee atakuja kufa kwa pressure siku moja.Tell him. Inaonekana anaumia sana. 🤣
Pengine hata hajui hio MartinAir ni ndege ya wapi, yeye alifanya biz na Skyward.Mbona Diamond ha kuenda huko Martinair kukodi ndege? Mbona yeye alikuja tu Kenya?
If I lease something from you, it belongs to me hadi lease iishe. Kama hukua unajua, jua leo. Ama wewe ukilipa rent kwako, landlord hukuja kuishi na wewe ju nyumba ni yake? 🤣🤣 Usiwe mjinga bana.Still the status does not change leased from the owner Martinair!
nimekuonyesha ikiwa na livery ya Skyward express na sasa ikiwa na livery ya Martinair ikiwa South Africa uploaded February 3rd 2025!If I lease something from you, it belongs to me hadi lease iishe. Kama hukua unajua, jua leo. Ama wewe ukilipa rent kwako, landlord hukuja kuishi na wewe ju nyumba ni yake? 🤣🤣 Usiwe mjinga bana.
Thank you very much. Si kila mtu anaona in 2025 it belongs to Skyward. Ni hayo tu kwa sasa.nimekuonyesha ikiwa na livery ya Skyward express na sasa ikiwa na livery ya Martinair ikiwa South Africa uploaded February 3rd 2025!
View attachment 3309675
Unknown owner!
View attachment 3309678
😂😂🤣🤣Thank you very much. Si kila mtu anaona in 2025 it belongs to Skyward. Ni hayo tu kwa sasa.
From Dutch government to MartinAir to Unknown owner. 🤣🤣 Si utakufa na pressure we mzee.nimekuonyesha ikiwa na livery ya Skyward express na sasa ikiwa na livery ya Martinair ikiwa South Africa uploaded February 3rd 2025!
View attachment 3309675
Unknown owner!
View attachment 3309678
Hebu jibu swali kama ni Skyward express owned, mbona imebadilishwa rangi kutoka Skyward Express na kuwa Martinair? Kwani Skyward Express ni private charter airline? Na kama yes mbona Martinair livery?From Dutch government to MartinAir to Unknown owner. 🤣🤣 Si utakufa na pressure we mzee.
Livery ya MartinAir unaijua hata ama unaropokwa tu? 🤣Hebu jibu swali kama ni Skyward owned mbona imebadilishwa rangi kutoka Skyward Express na kuwa Martinair? Kwani Skyward Express ni private charter airline? Na kama yes mbona Martinair livery?
Hii livery ya Skyward Express sio?Livery ya MartinAir unaijua hata ama unaropokwa tu? 🤣