chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Ipi hapo ina 2 billion revenue? Saa nyingine kubishana na wewe ni kuwa taahira kama wewe, Naivas wenyewe wanasema revenue yao ni 2 billion ila upo hapa unasema wana 98 billion, we jamaa ni mzima kweli?Imagine lazima uchukue top top 2 best performing companies in Tanzania ndio revenue yao Fikieni ya Naivas😂😂🤣👇👇
View attachment 3309325
🤣 🤣 🤣 Watu mnaojadiliana nao hawa hapa 👇👇👇👇Unasumbuka sana. Hapa tunaongelea revenue na sio assets. Naivas inawakula akili?🤣🤣🤣😂👇👇
View attachment 3309335
Hebu pita huku kuna ujumbe wako 🤣🤣👇🏾Bro, chukua kampuni zote under Azam uzicombine revenue yao ndio at least utafikia revenue ya Azam.
Hii haba ni idadi ya TV Decoders zinazotuika mpaka last month hapa TZ. Ngoja tupige mahesabu kuhusu Azam pekee
View attachment 3309317
Average Subscription fee per month ni Tsh 20,000
Total Active decoders for 3 Months is 1,290,048
Revenue per Month = 1,290,048 x 20,000 = Tsh 25,800,960,000, Ksh 1,243,836,238.10
Kwa mwaka = Ksh: 14,926,034,857.2
This just one product.
Wapi pameandikwa assets? Market capitalization ndio unaita assets? We sio mzimaUnasumbuka sana. Hapa tunaongelea revenue na sio assets. Naivas inawakula akili?🤣🤣🤣😂👇👇
View attachment 3309335
Hana uwezo huo. Uwezo wake ni mdogo sana analazimisha kujadili mambo makubwa. Kwa sasa humuoni tena.Hebu pita huku kuna ujumbe wako 🤣🤣👇🏾
Hizi ndizo arguments zenye akili si jamaa concordile 101 ati anadai catamaran speed boat moja thamani yake ni zaidi ya assets za kampuni ya Naivas!Hebu pita huku kuna ujumbe wako 🤣🤣👇🏾
Unasumbuka sana. Hapa tunaongelea revenue na sio assets. Naivas inawakula akili?🤣🤣🤣😂👇👇
View attachment 3309335
Kwanza kwa market capitalization TBL is not even in top 3 in East Africa. 😂🤣😂Wapi pameandikwa assets? Market capitalization ndio unaita assets? We sio mzima
+Azam TV Kenya3. Broadcasting & Media:- Teargass
- Azam Media
- Azam TV
- Azam Digital
- Azam Media Zimbabwe
- Azam TV Rwanda
Ujumbe gani? Azam decoder packages zake ni 300 bob kenyan shillings. Uongo pelekeni mbali.Hebu pita huku kuna ujumbe wako 🤣🤣👇🏾