Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is just an assembly plant. Kenya we do electric.


View: https://youtu.be/IVrk9XQaQYQ?si=eDiiJ0s8ShY8Qx92
 
Mimi nataka hata alete walau washine hata za kutengeneza spoko za pikipiki tu, umeniwahi we bepari
 
Ndo kamaliza hapo asivyo na akili
Vita ya Marekani na China ni kuhusu Semiconductor Huawei alishindwa kuzalisha bidhaa baada ya kupigwa sanctions kutokununua mashine za lithography

Nchi zinazotengeneza mashines za lithography ni:-

  1. Uholanzi
  2. Japani
  3. Marekani
  4. Ujerumani
  5. Korea Kusini
  6. Taiwan

China ndio Huawei wametanganza mwaka huu watangaza mashine yao ya kutengeneza 5nano.

Ni stupid pekee analeta vitu vya kipuuzi kama mkenya
 
Haha eti anatengeneza semiconductors inawezekana hata hajui maana ya semiconductors
 
Asilimia kubwa ni 60% bongolala tushawazoea Kwa kuquote figures out of nowhere.🤣🤣
 
I'm not daft kama wenzako hapa. Me huongea kitu najua.


View: https://youtu.be/ZN3ZmhpyLKI?si=4m5uV0f-VzxkauAb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…