Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanroad hii ya kwetu au nyingine? Tanroad hii iliyoshauri kuchimba jangwani eti kubana matumizi leo tunaanza kujenga upya.Tanroad hii ambayo inajenga barabara zinabomoka in two years?
 
Assembling ni tofauti na manufacturing mnaweza taja aina ya injini za pikipiki mnazozalisha Kenya . Hiyo assembling inafanyika mkuranga tu hapo
 
Sawa tenegeneza yako ulete. I don’t have energy to argue with idiots, good bye.
An idiot like you hawez leta evidence yoyote hakuna semi conductors mnazozalisha na kama zipo taja hata aina au jina la semiconductors mnazozalisha . Nincompoop
 
Kwa hivyo Kwa pikipiki ni engine pekee hua manufactured?😄
Inawezekana hata haujui maana ya manufacturing.
Manufacturing is the process of transforming raw materials or component parts into finished goods on a large scale, typically using machinery and skilled labor. It's the core of the secondary sector of the economy. Think of it as the creation or production of goods, from simple handicrafts to complex industrial designs.
Sasa tuletea hata sehem ambapo mnaconvert raw materials kuwa walau hata spoko za pikipiki




Assembling" means bringing separate parts or people together to form a whole or a group. It can refer to physically joining components to create something new, like building a computer or assembling furniture, or to gathering people for a purpose, like an assembly of students.
 
Bongoslum does not manufacture motorcycles, neither does it manufacture motorcycle parts. Lakini utawaskia wakipayuka na wimbo ya assembling. 🤣 🤣 🤣
Leo nayo nimewafinya mak*nde,
Jamaa anajaribu jaribu battle tu. 🤣🤣🤣🤣. Sahii umeingia pabaya. Hawa hapa KING LION motorcycles manufacturers in Tz. 👇🏾. https://www.facebook.com/. Kiwanda kingine hiki EPZ. na motorcycle parts 60% are made in Tanzania 👇🏾
View: https://youtu.be/NEhUKeRG3zQ?si=AeeAVVzRL3oD5lkK. Kiwanda kingine hiki hapa cha Mo, hapo wanatengeneza bajaji na pikpik 👇🏾
View: https://youtu.be/mhU_N1NEKBA?si=L_SB7lUemReQpBKE. Heb pata za kenya sasa. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…